Serikali ijenge hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.

Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.

Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.

Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
 
Wameshachelewa, hizo hospital ziko hapo miaka na miaka ndio tegemezi
 
Kituko cha Samia hiki hapa!
 
Ahaaaa !!! Hawa ndo vijana wa uvisisiemu
 
Kina Samia waache kuponda maraha waje wajengee wananchi wasio na faida kwenye maisha yao hospital? Unaota wewe! Kwani wananchi wakifa kwa kukosa huduma za afya, Samia ana hasara gani?
 
Wala DDH ya Bunda sio ya wakatoliki, ni ya Wamenonite. Ukimwambia mgonjwa kati ya hospitali ya serikali na DDH na hospitali ya serikali mgonjwa ataenda DDH. Bunda, Serengeti, Rorya hospitali zote kuu ni za makanisa na taasisi za dini.

Mwanza ukimwambia mgonjwa aende kati ya Sseke Toure ama Bugando mgonjwa ataenda Bugando. Same na hospitali zote za kidini zilizopo nchi nzima.

Hakuna mahala popote Duniani serikali inaweza kufanya kila kitu, serikali inatakiwa kushirikiana na sekta binafsi.

KAma hutaki hospitali pia usitake mashule, vyuo vikuu na huduma zote zinazotolewa na taasisi za kidini.
 
hahaha kwanza Mwanza ni Christian, pili kuna waislamu wengi tu wanatibiwa hapo Bugando, vp khs KCMC ni Christian umeisahau? Moshi kuna hospitali ya serikali kwa nini wananchi pmj na waislamu wanaenda kutibiwa KCMC unafikiri? nenda Dodoma, Tabora, kusini huko lindi, masasi, mtwara mpaka umasaini ni Kanisa ndiyo linahudumia wananchi siyo serikali wala msikiti.

rejea shehe aliyewakataka waislamu wa chini kupata bima ya afya kwamba ni haramu …
 
Bugando serikali inaweka fedha nyingi, bora ijenge hospitali yake tu kuliko kulipa watumishi wa hawa jamaa na kununua madawa
 
hahaha kwanza Mwanza ni Christian, pili kuna waislamu wengi tu wanatibiwa hapo Bugando, vp khs KCMC ni Christian umeisahau? Moshi kuna hospitali ya serikali kwa nini wananchi pmj na waislamu wanaenda kutibiwa KCMC unafikiri? nenda Dodoma, Tabora, kusini huko lindi, masasi, mtwara mpaka umasaini ni Kanisa ndiyo linahudumia wananchi siyo serikali wala msikiti.

rejea shehe aliyewakataka waislamu wa chini kupata bima ya afya kwamba ni haramu …
JPM alitoa amri kila wilaya iwe na hospitali yake tuachane na ma DDH. Ni suala LA kuongeza nguvu tu
 
Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.

Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.

Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.

Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
Mpumbavu ndio anawaza huu ujinga..hela za ujenzi utatoa mfukoni mwako..?
 
Wala DDH ya Bunda sio ya wakatoliki, ni ya Wamenonite. Ukimwambia mgonjwa kati ya hospitali ya serikali na DDH na hospitali ya serikali mgonjwa ataenda DDH. Bunda, Serengeti, Rorya hospitali zote kuu ni za makanisa na taasisi za dini.

Mwanza ukimwambia mgonjwa aende kati ya Sseke Toure ama Bugando mgonjwa ataenda Bugando. Same na hospitali zote za kidini zilizopo nchi nzima.

Hakuna mahala popote Duniani serikali inaweza kufanya kila kitu, serikali inatakiwa kushirikiana na sekta binafsi.

KAma hutaki hospitali pia usitake mashule, vyuo vikuu na huduma zote zinazotolewa na taasisi za kidini.
Hata kule Kagera wilaya ya Biharamulo kuna hiyo DDH Magu akajenga hospitali ya wilaya pale Katoke seminary aliposomea, yaani hata zahanati ina jam kuliko hospitali ile na watu wengi wala hawaifahamu
 
Mwananchi anachojali ni service na affordability kama hakuna affordability UMMA / State inaweza kuchangia / kuweka yake ili kuchochea ushindani na kuondoa cartels..

Mbili Hospitali sio majengo ni wahudumu pia jambo ambalo nadhani wananchi / kodi zetu tunachangia sana sababu wengi wa wahudumu ni watumishi wa serikali.

By the way sasa hivi kuna mpaka Bima kwahio sio mbaya kujiuliza Kodi zetu zinafanya nini ? Au ndio unataka kuwaongezea Miradi ya kupiga ya kujenga majengo ya matrilioni bila wahudumu ?

JPM alitoa amri kila wilaya iwe na hospitali yake tuachane na ma DDH. Ni suala LA kuongeza nguvu tu

kwani hospitali za serikali hazipo? kila
mkoa una hospitali ya serikali ya rufaa nafikiri, swali ni kwamba kwa nini wananchi wanachagua kutibiwa hospitali za kidini badala ya serikali? ulipaswa uanzie hapo, binafsi sioni sababu ya ugomvi zote za kidini na za serikali ziko kuhudumia wananchi na zote serikali ina jukumu ya kuhakikisha zinafanikiwa ila mkianza hizi vs zile waumiao ni wananchi kwani nina uhakika wewe ukiugua utapelekwa nnje na serikali kutibiwa, lkn wengi wanaohudumiwa na hizi hospitali za kidini “hawajabarikiwa” kama wewe, hizi huduma ktk taasisi za kidini zipo sehemu remote ambapo hata serikali ni kama haipo …
 
Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.

Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.

Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.

Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
haina haja wakatoliki sio adui zetu
 
Back
Top Bottom