Wameshachelewa, hizo hospital ziko hapo miaka na miaka ndio tegemeziNashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.
Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.
Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.
Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
Kituko cha Samia hiki hapa!Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.
Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.
Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.
Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.
Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.
Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.
Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
Kina Samia waache kuponda maraha waje wajengee wananchi wasio na faida kwenye maisha yao hospital? Unaota wewe! Kwani wananchi wakifa kwa kukosa huduma za afya, Samia ana hasara gani?Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.
Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.
Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.
Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
Bugando serikali inaweka fedha nyingi, bora ijenge hospitali yake tu kuliko kulipa watumishi wa hawa jamaa na kununua madawaWala DDH ya Bunda sio ya wakatoliki, ni ya Wamenonite. Ukimwambia mgonjwa kati ya hospitali ya serikali na DDH na hospitali ya serikali mgonjwa ataenda DDH. Bunda, Serengeti, Rorya hospitali zote kuu ni za makanisa na taasisi za dini.
Mwanza ukimwambia mgonjwa aende kati ya Sseke Toure ama Bugando mgonjwa ataenda Bugando. Same na hospitali zote za kidini zilizopo nchi nzima.
Hakuna mahala popote Duniani serikali inaweza kufanya kila kitu, serikali inatakiwa kushirikiana na sekta binafsi.
KAma hutaki hospitali pia usitake mashule, vyuo vikuu na huduma zote zinazotolewa na taasisi za kidini.
JPM alitoa amri kila wilaya iwe na hospitali yake tuachane na ma DDH. Ni suala LA kuongeza nguvu tuhahaha kwanza Mwanza ni Christian, pili kuna waislamu wengi tu wanatibiwa hapo Bugando, vp khs KCMC ni Christian umeisahau? Moshi kuna hospitali ya serikali kwa nini wananchi pmj na waislamu wanaenda kutibiwa KCMC unafikiri? nenda Dodoma, Tabora, kusini huko lindi, masasi, mtwara mpaka umasaini ni Kanisa ndiyo linahudumia wananchi siyo serikali wala msikiti.
rejea shehe aliyewakataka waislamu wa chini kupata bima ya afya kwamba ni haramu …
Mpumbavu ndio anawaza huu ujinga..hela za ujenzi utatoa mfukoni mwako..?Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.
Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake, mfano Wilaya ya Bunda.
Makanisa yaanze kujipanga kujitegemea kuendesha taasisi za, sio kutegemea serikali..... JPM mkatoliki alianza kuliona hili mapema na aliwapasha maaskofu wakapashik. Maana walimfata ili asitishe mpango huo wa serikali.
Pia serikali ijenge Chuo Kikuu Mwanza na mahala penguins, maana hawa wakatoliki wamekuwa wakiomba serikali isijenge vyuo vikuu mwanza kwa kuhofia ushindani kwa chuo chao cha SAUT
Hata kule Kagera wilaya ya Biharamulo kuna hiyo DDH Magu akajenga hospitali ya wilaya pale Katoke seminary aliposomea, yaani hata zahanati ina jam kuliko hospitali ile na watu wengi wala hawaifahamuWala DDH ya Bunda sio ya wakatoliki, ni ya Wamenonite. Ukimwambia mgonjwa kati ya hospitali ya serikali na DDH na hospitali ya serikali mgonjwa ataenda DDH. Bunda, Serengeti, Rorya hospitali zote kuu ni za makanisa na taasisi za dini.
Mwanza ukimwambia mgonjwa aende kati ya Sseke Toure ama Bugando mgonjwa ataenda Bugando. Same na hospitali zote za kidini zilizopo nchi nzima.
Hakuna mahala popote Duniani serikali inaweza kufanya kila kitu, serikali inatakiwa kushirikiana na sekta binafsi.
KAma hutaki hospitali pia usitake mashule, vyuo vikuu na huduma zote zinazotolewa na taasisi za kidini.
JPM alitoa amri kila wilaya iwe na hospitali yake tuachane na ma DDH. Ni suala LA kuongeza nguvu tu
haina haja wakatoliki sio adui zetuNashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali.