Bora hivyoMkuu pdidyjr
Bible inasema nitakuhurumia yeye akuhurumiaye
Mungu kaamua kunihurumia msiteseke tena
Badala ya kumsema dada yako asizae kama sungura nje ya ndoa, unawasema wanaume wanaopima DNA kwa haki zao kweli?Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.
Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.
Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.
Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.
Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.
Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.
Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.
Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Yani serikali iondoe mzani wa magari mazito kwasababu unaleta changamoto ya foreni?Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.
Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.
Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.
Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.
Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.
Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.
Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.
Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Umejiunga umenkuta ueleei WA nyuma wafanyaje jiongezeHivi Pdidy siku zote hizo tu bado unajifunza kuandika? Maana tokea nimejiunga JF nakuona unaandikaga hivi hivi hueleweki.
Angalau siku hizi umenunua simu yenye herufi ndogo maana zamani zilikuwa zote kubwa tu
Yatima wazazi wao wamekufa??Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.
Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.
Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.
Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.
Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.
Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.
Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.
Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
sasa hapo mwenye shida ni nani? kama sio dada yako?Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.
Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.
Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.
Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.
Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.
Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.
Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.
Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Mkuu imagine wewe baba mtoto kafanana jirani alooo sampuli lazima zichukuliwe asante technology 🤣 uhun uhun tu mbafu ulee watoto si wakoKatika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.
Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.
Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.
Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.
Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.
Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.
Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.
Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Huwa tunalazimika kukuelewa kwa ku force tu dingiUmejiunga umenkuta ueleei WA nyuma wafanyaje jiongeze
Badala ya kumlaumu dada yako kwa kuzaa nje ya ndoa, unamlaumu mwanamme anayepima DNA, sawa hiloo?Ashafunga na KIZAZI mkuu
Labda Azae kwa miujiza
Sasa wewe ndio unaendekeza viruka njia?Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.