Serikali ikatae mambo ya kupima DNA. Inachangia kuongezeka kwa yatima

Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.

Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.

Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.

Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.

Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.

Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.

Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.

Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.

Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Badala ya kumsema dada yako asizae kama sungura nje ya ndoa, unawasema wanaume wanaopima DNA kwa haki zao kweli?
 
Yani serikali iondoe mzani wa magari mazito kwasababu unaleta changamoto ya foreni?

Yaani serikali ishushe maksi za kufaulu mtihan wa form 4 kwasababu wanaofeli ni wengi? (BRN (big result now)-kikwete approach)

Yaani serikali ihamishe mamlaka ya kuendesha bandari na mbuga kwasababu wazawa wanaiba sana kodi?

Mkuu waza mara 2. Hoja n kutatua tatizo sio kuliruka. Tanzania tuna haja ya kutengeneza utaratibu wa kutatua matatizo sio kuyakimbia na kuyaacha yanaendelea na kujirundika.

Ok waondoke kipimo cha DNA then tatizo la maadili linakuwa limekwisha?
 
Hivi Pdidy siku zote hizo tu bado unajifunza kuandika? Maana tokea nimejiunga JF nakuona unaandikaga hivi hivi hueleweki.

Angalau siku hizi umenunua simu yenye herufi ndogo maana zamani zilikuwa zote kubwa tu
Umejiunga umenkuta ueleei WA nyuma wafanyaje jiongeze
 
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.

Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.

Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.

Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.

Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.

Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.

Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.

Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.

Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Yatima wazazi wao wamekufa??
 
sasa hapo mwenye shida ni nani? kama sio dada yako?

Kwanini usiwaze kuanzisha chama cha kuwapa elimu wanawake wasifanye huo ujinga wakiwa ndani ya ndoa? kama imethibitika mume ana mbegu zenye kutungisha mimba kwanini wasitulie?

Katika watoto watatu mmoja awe wako, wewe utatulia? kama mke ni shamba na wewe ni mkulima, utakubali kuingia gharama za kupalilia na kutia mbolea kwenye eneo ambalo hautapata mavuno au nguvu utaelekeza kule ulikolima wewe?
 
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.

Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.

Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.

Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.

Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.

Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.

Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.

Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.

Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Mkuu imagine wewe baba mtoto kafanana jirani alooo sampuli lazima zichukuliwe asante technology 🤣 uhun uhun tu mbafu ulee watoto si wako
 
Badala ya kumsema dada yako asizae kama sungura nje ya ndoa, unawasema wanaume wanaopima DNA kwa haki zao kweli?
Ashafunga na KIZAZI mkuu
Labda Azae kwa miujiza
 
Mchina aboreshe vifaa tuwapime kama tunavyopima HIV ukikuta sio wako unaichapa mara ya mwisho anatembea zako
 
Wanaume hatukatai kutunza watoto endapo tutawekwa wazi taarifa zao.... Kuhusu chama, Dada awe mwenyekiti, wewe uwe katibu, muweka hazina awe mwamba aliyevuruga ndoa ya dada.
 
KUNA MMOJA kapiga mkewe majuzi kakuta mtoto clinic ana jina la babayake MZAZI loh akasema alikosea mwandishi kawe ikamhusu mpaka siku tatu wakamwachia
 
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.

Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua mmoja tu ndiye alikuwa wake. Tukio hili lilileta maumivu makubwa na kuyumbisha familia.

Kutokana na hili, napendekeza tuanzishe chama cha wanaume wanaokubali kutunza watoto bila kujali matokeo ya DNA.

Lengo ni kuwalea watoto wote waliozaliwa katika mazingira ya ndoa au mahusiano kwa upendo na uwajibikaji.

Huu ni mwito kwa wanaume kujenga jamii yenye maadili bora kwa kukubali na kulea watoto kwa moyo mmoja, bila kujali changamoto za kihisia au ukweli wa DNA.

Tukiwalea watoto kwa upendo, hatutasaidia tu kupunguza idadi ya watoto wa mitaani bali pia tutasaidia kuunda kizazi chenye heshima na maadili mema.

Haya mambo ya kukimbilia DNA yamewaponza wengi, na mwisho wa siku, kinachoathirika ni maisha ya mtoto.

Tunawapongeza wanaume wote wanaotimiza majukumu yao bila kuzingatia DNA. Mungu awabariki na kuwalipa kwa mema mnayoyafanya. Ni wakati wa kuonyesha utu wetu kwa vitendo.

Tunaingia Ibadan kwa Chief Prof Suguye!
Sasa wewe ndio unaendekeza viruka njia?
 
Ishu si kulea watoto wasio wako, ishu ni kuishi na mwanamke mzinzi. Adhabu yake ni kuachiwa hao watoto apeleke kwa baba zao halisi. Hii itakomesha tabia ya uzizi, kila mwanamke atulie kwenye ndoa yake
 
Inauma sana watoto wanazaliwa ndoani lakini si wa baba mwenye ndoa. Hao watoto ni wa michepuko, mama yao ambane aliyempa mimba sirini atunze watoto wake. Ndoa iheshimiwe na watu wote. Si jambo zuri kutembea na mke wa mtu wakati anaishi pamoja na mume wake, na huyo mume hana tatizo la uzazi kiasi cha kusaidiwa kuzaa na mwanaume mwenzake. Unampa mimba mke wa mtu halafu unajisifu umezaa kwenye nyumba ya mtu!
 
Kuna baadhi ya makabila mila na desturi zao zinaruhusu mke kunyanduliwa na mwanaume yeyete asiye mume wake mradi tu ni rika la mume wake, anaweza akawa rafiki wa mume au ndugu wa mume, au jirani, au mwanaume mwingine nje na kabila lao wakikubaliana wachukue mbegu za mwanaume huyo waliyempenda wajihi wake basi mwanamke hujipendekeza kwa hilo jibaba ili limnyandue apate mimba. Mzee wa boma hana wivu anajua mtoto akizaliwa ni wake ndani ya boma lake. Kule watoto hawaachwi na we mswahili ukizaa na mwanamke wa kabila lile kichepukaji hutachukua mtoto sahau, ukileta za kuleta utachapwa fimbo za kutosha mpaka utakimbia
 
Ni rahisi kulea watoto ambao umemkuta mkeo anao tayari kuliko kulea watoto ambao wamezaliwa ndani ya ndoa lakini si wako mkeo alichepuka akanasa mimba ya jibaba jingine kisha akazalia ndoani bila wewe kutambua kuwa mlichangia penzi na msela mwingine
 
Back
Top Bottom