Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Duuh hatari!ila najikuta kuumizwa sana na kifo chake
Roho mbaya,chuki, visasi, kiburi, hasira,epuka hivi unauweka rehani moyo wako na unafupisha siku zako za kuishi.Tabia uathiri moyo wa mtu uua
 
he was a disgrace to our nation.
 
Yaani pamoja kuwa na ulinzi mzito namna ile halafu jamaa awe aliuawa kwa sumu kirahisi hivyo?
Mkuu

Usitumie nguvu kupinga usichokielewa.

Ulinzi uliokuwa kwa JPM ni ule wa kizamani au wa kijeshi (military intelligence/human intelligence):

Tazama hapa chini ili uje Tanzania imewekeza kwenye usalama wa aina gani

There are six basic intelligence sources, or collection disciplines:

SIGINT—Signals intelligence is derived from signal intercepts comprising -- however transmitted -- either individually or in combination: all communications intelligence (COMINT), electronic intelligence (ELINT), and foreign instrumentation signal intelligence (FISINT). The State Intelligence Security Services is responsible for collecting, processing, and reporting SIGINT and advises the Director on SIGINT policy issues, and manages the SIGINT requirements system.

IMINT—Imagery Intelligence includes representations of objects reproduced electronically or by optical means on film, electronic display devices, or other media. Imagery can be derived from visual photography, radar sensors, and electro-optics.

MASINT—Measurement and Signature Intelligence is information produced by quantitative and qualitative analysis of physical attributes of targets and events to characterize, locate, and identify them. MASINT exploits a variety of phenomenology, from a variety of sensors and platforms, to support signature development and analysis, to perform technical analysis, and to detect, characterize, locate, and identify targets and events. MASINT is derived from specialized, technically derived measurements of physical phenomena intrinsic to an object or event and it includes the use of quantitative signatures to interpret the data. Measurement and signature intelligence is a technical branch of intelligence gathering, which serves to detect, track, identify or describe the distinctive characteristics of fixed or dynamic target sources.

HUMINT—Human intelligence is derived from human sources. To the public, HUMINT remains synonymous with espionage and clandestine activities; however, most HUMINT collection is performed by overt collectors such as strategic debriefers and military attaches. It is the oldest method for collecting information, and until the technical revolution of the mid-to-late 20th century, it was the primary source of intelligence.

OSINT—Open-Source Intelligence is publicly available information appearing in print or electronic form including radio, television, newspapers, journals, the Internet, commercial databases, and videos, graphics, and drawings. While open-source collection responsibilities are broadly distributed through the intelligence cyberspace. This is an intelligence-gathering method used to collect and analyze publicly available information and data for investigative purposes. OSINT data sources encompass pretty much anything you can find on the internet, from an IP address to public governmental records.

GEOINT—Geospatial-Intelligence is the analysis and visual representation of security-related activities on the earth. It is produced through an integration of imagery, imagery intelligence, and geospatial information.

Kilichokosekana an kufanyika kwa weledi uliobobea ni 'Ethical Hacking and Penetration Testing' kiasi ambacho adui alipenya kupitia mlango wa watu wa diplomasia wasiotiliwa shaka kuingia sebuleni

Jifunze elimu hiyo (Cyber-Security Intelligence) hutasumbua ubongo wako kwenye mambo ya blah blah za kisiasa utafaidika vya kutosha.
 
hizi ndio longolongo sasa. Sasa hayamakablasha yako yalihusika vipj na kifo cha mwendazake.
 
Huu ujingaujinga utaligawa Taifa, Kila siku habari mpya ya jinsi alivyouawa. Wanakera mno watu hawa. Ajabu Rais alisema atawakamata, ajabu hawakamatwi.
kwanini awakamare, kwani mumesahau kama kuna uhuru wa kutoa maoni
 
Naikumbuka habari hii, hakuna aliyechukuliwa hatua hadi leo
Kuna mwanasiasa alijaribu kujifanya anatolea ufafanuzi wa namna alivyouwawa kwa wana "Tarime" kama sikosei. Kibano alichopata si haba, nae ni mwendazake kwa sasa.
 
Ulinzi alikuwa nao wa kiwango cha juu. Tayari alikwisha kuwa ni Rais wa 5 kwa ulinzi mkali Afrika na consultants wa ulinzi wake walikuwa ni wa Israel na ndiyo walioleta zile internet jammers na bomb detectors. Askari wa PSU, Askari wa JW wakiwa na AK47, Askari wa plain cloth na Helicopter angani

Pili afya yake zaidi ya kuwa chini ya uangalizi wa Madaktari wabobezi kama Prof Janabi, Prof Mchembe, Dr Ngwale na Dr Kisenge alikuwa vile vile anapata huduma ya Madaktari wa Israel.

Kwa mbali alikuwa anafanyiwa maombi na Mufti Zubeir pamoja na akina TB Joshua, Cardinal Pengo, wachawi 400 wa Gamboshi na walokole akina Gwajima kibao

Hebu tuseme ukweli unakufaje kwenye hayo mazingira kama wewe ni mtenda mema

Ila Watanzania waliodhulumiwa ndiyo waliomuua Magufuli kwa sala na dua walizopiga. Mungu huzisikia Sana, Believe me
 
Mkuu

Walitetereka kwenye cyber-security ambapo anayekushambulia hahitaji kuwepo ana kwa ana eneo la tukio ila taarifa zako tu muhimi zilizoko kwenye mfumo wa elektroniki
 
Team msoga tulieni nyie si ndo mlikuwa mnataka freedom of speech !? acha kila mtu aongee lile analoona lina faa na kutuliza moyo wake huo ndo uhuru wa habari kama habari zingine.
 
Azuie kwani uongo? Ndo jamii na dunia watajua ni kweli kabisaaa!!

Hivi unadhani hii mitandao iko bongo tu?? Au hukusoma shule wewe??!!

Hapa nilipo niko jimbo la udighburg huku Newzealand.lkn nawapa kwa ukaribu sana.
 
Kwanini usiitake ichunguze badala yake unaitaka ikemee. Je kama ni kweli? Kwani haiwezekani kuuawa? Ungesema wachunguze hata wale waliopotea na kuokotwa kwenye viloba
 
Hawa viongozi wezi tulionao Africa ndo saizi yetu

Afrika haipaswi kua na viongozi wenye akili na wazalendo kwasasa

Ni rahisi sana kuuwawa ndani ya nchi yako, ukiwa Kiongozi mzalendo ndani ya kizazi hiki,

NB: kizazi hiki hakikupaswa kuongozwa na Magufuli
 
Mimi nauliza mbona motivation speakers walipungua sana awamu ya tano?
 
Umefikiria kama mtoto. Kwa mawazo yako unafikiri youtube inamilikiwa na tz. Youtube ile ni kama bahari. Na kuna sheria. Mtu yeyote mwenye channel anaweza tuma chochote na akabaki kua safe. Mtu anaeza kua ulaya. Utamfanya nn
 
Mkuu

Walitetereka kwenye cyber-security ambapo anayekushambulia hahitaji kuwepo ana kwa ana eneo la tukio ila taarifa zako tu muhimi zilizoko kwenye mfumo wa elektroniki
Je kazi ya Internet Jammer ilikuwa Ni nini?

Like gari jeusi lenye mitambo
 
Wewe mwenyewe hapa unasambaza.

Unapokimbilia "kukamata watu" unajionyesha bado unaishi kwenye enzi za ujima.

Kama habari inayosambazwa haina ukweli inakuumiza vipi, acha wasambaze wakichoka wataacha.

Kama wanataja watu kuhusika na mpango huo, watu hao watafute njia za kujisafisha au watafute haki zao kisheria.

Serikali yenyewe haisemi ukweli kuhusu kifo cha Magufuli, mbona hujailalamikia? Nenda kaikamate basi!
 
Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Hakukitendea haki cheo hicho cha uRais.

Nchi ifunge ukurasa na iendelee na mapambano ya kutafuta maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…