Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Tusichanganye mambo; kati ya udikteta uchwala wake,na jinsi alivyotetea rasilimali za nchi zisiibiwe na watu ambao wanataka kuchukua utajiri wetu na kwenda kuutumia na wake zao,na wakati mwingine wake zao ni wanaume.
 
Weka video tuione au type link tukaione YouTube kabla hatujaunga mkono hoja yako
 
Corona ipo,si rahisi JPM kuuawa kwa sumu au biological weapon,ulinzi wake ulikuwa sio wa kitoto!! Corona+Mgeni+Kibetry hauwezi KUTOBOA.


 
Kama ni kweli alikufa kwa ugonjwa wa moyo basi ndo hivyo aliisha kufa, tumezika tunasonga mbele. Kama wanaosema aliuwawa basi waliua nao wamefanya kazi yao tunasonga mbele.
Hii inachosha sana, jamani kile kiti kina mambo mengi mno. Kuwa raising wa nchi siyo mchezo bora uwe machinga tu inatosha wale watu hawana amani. Kile kiti kinatafuta masilahi, kinaangalia maisha ya watu na kulinda usalama.
Ukiwa raisi wa nchi inahitajiaka hekima kuishi na watu. Ukidhibiti watu kupita kiasi mpaka wanashindwa kupumua, kujihami kupita kiasi, na kukamia madaraka kupita kiasi, mwisho wake huwezi kuwa mzuri kamwe.
 
Mimi siafiki kuminya uhuru wa watu kusema wanavyofikiria. Mbaya ni kutaja majina ya watu bila ushahidi tu. Lakini kusema au kufikiri au kuamini kuwa kauwawa sioni kama ni dhambi hasa.

Maana kwa nchi yenye usalama wa taifa unaofanya kazi kwa maslahi ya kweli ya taifa, mtu akiniambia ni system yenyewe imemuondoa (ili kuponya taifa) kwa kweli sitashangaa sana. The guy was just a failure. Na isingechukua muda mrefu kwa Tz kuingia kwenye shida kubwa za kiuchumi. His fiscal policies and approaches were not sustainable at all....it was just a matter of time.

But binafsi naamini kabisa ni corona ilimuondoa hasa kwa kuwa tayari alikuwa na tatizo hilo la moyo. Ile second wave ilitikisa sana. Yeye aliichukulia poa sana.
 
Huu ujingaujinga utaligawa Taifa, Kila siku habari mpya ya jinsi alivyouawa. Wanakera mno watu hawa. Ajabu Rais alisema atawakamata, ajabu hawakamatwi.
Watu wanashangaa, mbona lile wimbi la Tatu halikuendelea kuchukua Viongozi baada ya Magu kufa? Au ndo lilikuwa special kwaajili ya kuchambua team yake tu. Kama kweli lilikuwepo, yele makundi mengi yaliyojitokeza viwanjani na mabarabarani kumuaga Magufuli bila kuvaa barakoa mbona hayakupatwa na chochote?

Kuna muda ukiwaza sana unaona kabisa kuna kitu,na hata hivyo kama ni kweli yeye haitakuwa Rais wa kwanza kufanyiwa hivyo duniani.

Naungana na wewe,hizo habari hazitakiwi kuendelea kupewa nafasi na vyombo vya habari,maana hazina udhibitisho,na ni sawa na kuhubiri utengano.
 
H
Hizo ni ngonjera Mwendazake alikuwa anapiga kuwapumbaza wajinga. Werevu wanajuwa hakuna FISADI ambaye amewahi kumzidi kwa kuiba kodi zetu na kujilimbikizia
 
Huyu bwana alikufa kwa sababu ya uoga wake wa kwenda kutibiwa kwa mabeberu,sijui hofu yake ilikuwa mini,mbona Mugabe alikuwa hapatani na wazungu lakini alikuwa anaenda kutibiwa Singapore na hawakumdhuru
Bora alivyofanya, ameacha legacy
 
Kwa nini nguvu kubwa inatumika kupinga. Basi ni kweli kauwawa na hao watu wakubwa😎
Ukiona watu wanapinga na hata kufikia hatua kuanza kuwatisha watu kwamba ni wachochezi hapo kwa kuzingatia ushahidi wa kimazingira kuna 'lead' ya uhusika kupitia hao wanaobweka kupinga uchunguzi na kumbeza hayati.

Hii ajenda haiwezi kufutwa na kiongozi wa aina yoyote endapo atatumia nguvu, ujanja ujanja kukwepa jukumu la kuondoa tashwishwi hiyo kupitia uchunguzi huru
 
Hili nilisikia kuwa Wanyarwanda walimlinda. Nikafuatilia kiundani nikakuta ni uwongo. Je wanaoneza uvumi huu, Rais Magufuli alindwa na watu hawa ofisini, safarini, Chato au kotekote?
Ulijuaje kuwa ni uongo?
 
Kwani ile sheria ya mtandao haitumiki tena? Imeondoka na mwendazake? TCRA wako wapi? Mijitu ianachafua viongozi viongozi, wao wamekaa kimya tu!!!! Tulishambiwa kafa kwa matatizo ya moyo sasa hao wanaodai kauwawa walikuwepo? Si wote tulitangaziwa???? Wengine tunademka!!!! Piga kelele kwa mama Samia! Weweeeeee!!!1 Kwa raha zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…