Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #181
Nani huyuMuraga ni mtuhumiwa nambari one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyuMuraga ni mtuhumiwa nambari one
Hadi leo hawajapeleka... kuondoa hii shombo shauri hili lipelekwe kwa DPP na kitengo cha upelelezi cha polisi na tuanze na wapambe na walinzi wote wa Jiwe kama watuhumiwa namba moja ...!
Eti lile wimbi limewaondoa wale tu? Yule mwingine anakaribia miaka 100 lakini wala hata mafua ya kawaida hapati!Watu wanashangaa, mbona lile wimbi la Tatu halikuendelea kuchukua Viongozi baada ya Magu kufa? Au ndo lilikuwa special kwaajili ya kuchambua team yake tu. Kama kweli lilikuwepo, yele makundi mengi yaliyojitokeza viwanjani na mabarabarani kumuaga Magufuli bila kuvaa barakoa mbona hayakupatwa na chochote?
Kuna muda ukiwaza sana unaona kabisa kuna kitu,na hata hivyo kama ni kweli yeye haitakuwa Rais wa kwanza kufanyiwa hivyo duniani.
Naungana na wewe,hizo habari hazitakiwi kuendelea kupewa nafasi na vyombo vya habari,maana hazina udhibitisho,na ni sawa na kuhubiri utengano.
MusibaNani huyu
Uongozi wa nchi una mamboEti lile wimbi limewaondoa wale tu? Yule mwingine anakaribia miaka 100 lakini wala hata mafua ya kawaida hapati!