MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
Na likiisha hili swala, waislamu waamke nawadai serikali ivunje huo mkataba haramu baina ya serikali na kanisa katoliki. Kwani sadaka haziwatoshi! Waache tamaaAskofu Maximilian anaona ufahari kuupinga uwekezaji wa DP World katika mahubiri yake kanisani, anachosahau ni kuwa Hunchingson wanaomiliki TICTS ni wakristo waliokaa pale TPA kwa miaka 22.
Huo ukweli hawezi kuuona kwa sababu waliomjaza ujinga ni wakristo wenzetu kwamba waarabu waliotutawala wanarudi tena kwa mlango wa uwekezaji!, hawakumwambia kuwa TICTS ya wakristo imefanya kazi hiyo hiyo kwa miaka 22 katika eneo hilo hilo!.
Samia anashambuliwa chini kwa chini na sisi wakristo, baadhi yetu tunajiona kama vile kwenye simu zetu kuna namba za kina Yesu, Yakobo na Mtume Petro, tunajihesabia haki tukisahau kuwa wapo waislam wengi tu.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app