Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Na likiisha hili swala, waislamu waamke nawadai serikali ivunje huo mkataba haramu baina ya serikali na kanisa katoliki. Kwani sadaka haziwatoshi! Waache tamaa

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…