Basi anza kutusalimia wakubwa zako humu!Hilo swala niliwaza nilipokuwa std 1, nikawa sielewi nilipoambiwa hazitatosha kipindi hicho tulikuwa ml 35. Nashangaa wewe unamawazo hayo ukiwa ushaota vudhi
Je, unataka nikopi idea za mawe?Mkuu usikopi idea za watu Twitter buni idea yako.
Hafu ndio jina lakeaise
Ukipata milioni 50 zako husinisahauMtoa mada kakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakupa million 2 je utazifanyia nini?Ukipata milioni 50 zako husinisahau