aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50
Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50
Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika.
Hesabu zinakuwa hivi;
Pesa taslimu milioni 50
Tunamgawia kila mtanzania milioni moja net.
Hesabu inakuja milioni hamsini.
Hapo serikali inakuwa imemaliza au kupunguza umasikini na kukazua vyuma kwa ujumla!
Hesabu zote zimehakikiwa, na Uzi huu hauhitaji masahihisho yoyote, bora upelekwe jukwaa husika!
Asanteni.