Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi upi unaoongelea ?Maswala ya kiuchumi haya kaka,
Ngoja wachumi "tukudadavulie".
Umasikini ni nini?
Ujue huyu jamaa hata mie alinivuruga nakumbuka 2014 kuelekea 2015 nilikuwa nahesabu pesa za kugawa kwa wananchi jimboni bee zaidi ya million 200 na hazikutosha jimboni hapo ni hela ndogo ndogo tu.
Nyie acheni tu niwe maskini maana kipindi kile kuna watu wananifata wananiambia tutengeneze majina fake weye tuingize watu wemtakatifu