Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
PART 1.
MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU.
MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE?
MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI.
Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?,
mnatuchuliaje WALIMU?
Heshima tunayowapa malipo ndio mtunyanyase?
Heshima ina kikomo, Uvumilivu una mwisho. wote sisi ni Watanzania Hakuna mwenye haki zaidi ya Mtanzania mwingine.
Mwalimu wa Shule ya sekondari X kashambuliwa, kupigwa mpaka kasababishiwa matatizo ya kiafya na askari polisi Gideon Mussa Said Cheo CPL mwenye utambulisho wa G.5354 wa kituo Cha polisi Songe lakini VIONGOZI WA halmashauri bado wanamlinda polisi huyu! Na hakuna hatua zozote wanazochukua!
maana polisi wamehalalishiwa kupiga WALIMU kama watoto wao.
Na hata mwalimu huyu alipoombq Kuhama Wilaya Ili kuficha dhahma hiyo bado mkurugenzi na afisa Elimu hawatoi ushirikiano
Kwenye utumishi Kuna kupigwa?
Kuna Sheria ya kupigana?
KILINDI mwalimu anafanywa chochote na lolote na hakuna pakusemea.
Suala hili mmelinyamazia sana, ila hata Kwa Mshemiwa Raisi Dr. Samia S Hassan nitafika nalo.
Manyanyaso Yana mwisho.
Hima viongozi Wa serikali/tamisemi mulikeni hawa mliowapa dhamana