Serikali Iko wapi mwalimu ananyanyaswa na kudhalilishwa Wilaya ya Kilindi Tanga?

Eleza vizuri ni kwanini huyo askari alimkung'uta huyo mwalimu ? Toa kwanza sababu alafu tutafute haki iko upande wa nani ?
 
Kwa nini asimshtaki huyo polisi kwenye vyombo vya sheria, kabla ya kukimbilia kuomba uhamisho?

Na kama hana imani na hivyo vya sheria, si anheenda hata kwa Mkuu wa Wilaya, ambaye anatambulika kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama katika Wilaya husika!!

Sasa kulalamika tu inasaidia nini?
 
PART II
Kwasasa viongozi wanaendelea kumtisha mwalimu kwa kumwambia amesambaza hizi taarifa kwani tayari wakubwa wamepita hapa JF na kuona hizi habari na Kuna wengine tayari wamenifuata inbox kuomba mawasiliano ya mwalimu huyo Ili hatua stahiki zichukuliwe,

Manyanyaso kwa walimu yafikie mwisho!
 
Atamshtaki polisi kwa "polisi"?

Na umeona hapo hata viongozi wake wa juu wanamlinda mhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…