sisi tunafanya kazi kizamani mno vitu wanavyoomba uhamiaji ni vitu vya balozini unapoomba visa!!! naona uhamiaji wamechanganyikiwa wamejigeuza maafisa wa visa wa ofisi za ubalozi za nchi za njeMasharti na vigezo ni vizuri vikazingatiwa , sasa kwa huyu alikwenda kama Mwanafunzi hatimaye akajiongeza, sasa kama wenyeji wameweza kumpa licence ya biashara basi wanatakiwa kuwa flexible kwa kukubali licence yake ya biashara kama mbadala wa invitation letter, lakini zaidi ya licence wanaweza kuuliza kama hiyo kiimanjaro restaurant imesajiliwa na wamiliki wake ni akinanani yeye pekee yake au ana mbia au wabia n.k
Ni kweli Marekani unatakiwa tu kununua munipal bond ya dola laki 5 hadi dola milioni moja kutegemeana na jimbo unapewa uraia chap chapZipo baadhi ya nchi kwa sasa zimefikia hatua ya kuuza uraia. Yaani kuuza uraia imekuwa ni chanzo cha mapato kwa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyongeza;Maoni yangu, serikali isiishie kulegeza masharti tu, bali inatakiwa ifanye passport kuwa chanzo cha mapato, kwa kuwahamasisha Watanzania wawe na passport.
Tatizo Tanzania tunaendekeza kaushamba fulani hivi wakati dunia ipo kasi sana.
Uhamiaji wawahamasishe Watanzania wapate passport wakatafute fursa kokote duniani.
Zipo baadhi ya nchi kwa sasa zimefikia hatua ya kuuza uraia. Yaani kuuza uraia imekuwa ni chanzo cha mapato kwa nchi.
Hali ni tofauti Tanzania. Raia anapambana kupata passport, badala ya uhamiaji kuwahamasisha raia wawe na passport.
Tazama nchi zinazouza uraia duniani;
Je wajua kwamba kuuza uraia ni biashara kubwa zaidi duniani? - BBC News Swahili
Zaidi ya nusu ya mataifa duniani sasa yanatoa uraia kupitia mpango wa uwekezaji na uhamiaji.www.bbc.com
Inagharimu pesa ngapi kununua pasipoti?
Antigua na Barbuda; kuanzia $100,000
St Kitt's na Nevis; kuanzia $150,000
Montenegro; kuanzia $274,000
Ureno; kuanzia $384,000
Uhispania; kuanzia $550,000
Bulgaria; kiuanzia $560,000
Malta; kuanzia $1m
Marekani; kati ya $500,000 na $1m iliwekezwa katika biashara hiyo katika biashara hiyo na kutoa nafasi 10 za kazi
Uingereza; kuanzia dola milioni 2.5
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hapo ulipoandika inagharimu pesa ngapi kununua passpoti badilisha pasomeke kununua uraiaMaoni yangu, serikali isiishie kulegeza masharti tu, bali inatakiwa ifanye passport kuwa chanzo cha mapato, kwa kuwahamasisha Watanzania wawe na passport.
Tatizo Tanzania tunaendekeza kaushamba fulani hivi wakati dunia ipo kasi sana.
Uhamiaji wawahamasishe Watanzania wapate passport wakatafute fursa kokote duniani.
Zipo baadhi ya nchi kwa sasa zimefikia hatua ya kuuza uraia. Yaani kuuza uraia imekuwa ni chanzo cha mapato kwa nchi.
Hali ni tofauti Tanzania. Raia anapambana kupata passport, badala ya uhamiaji kuwahamasisha raia wawe na passport.
Tazama nchi zinazouza uraia duniani;
Je wajua kwamba kuuza uraia ni biashara kubwa zaidi duniani? - BBC News Swahili
Zaidi ya nusu ya mataifa duniani sasa yanatoa uraia kupitia mpango wa uwekezaji na uhamiaji.www.bbc.com
Inagharimu pesa ngapi kununua pasipoti?
Antigua na Barbuda; kuanzia $100,000
St Kitt's na Nevis; kuanzia $150,000
Montenegro; kuanzia $274,000
Ureno; kuanzia $384,000
Uhispania; kuanzia $550,000
Bulgaria; kiuanzia $560,000
Malta; kuanzia $1m
Marekani; kati ya $500,000 na $1m iliwekezwa katika biashara hiyo katika biashara hiyo na kutoa nafasi 10 za kazi
Uingereza; kuanzia dola milioni 2.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni sehemu ya habari ambayo, nimeikopi na kupesti kutoka BBC Swahili.mkuu hapo ulipoandika inagharimu pesa ngapi kununua passpoti badilisha pasomeke kununua uraia
Nchi zenye ishu za kijamaa huwa na tabia ya kufungia watu kama watumwa au jela. Unafikiri kwanini walijenga ukuta wa Berlin. Inabidi tuachane na sera ya ujamaa. Sheria zetu na kodi na mipango na kanuni vinaongozwa na hiyo sera. Ni zimwi lisiloonekana.sisi tunafanya kazi kizamani mno vitu wanavyoomba uhamiaji ni vitu vya balozini unapoomba visa!!! naona uhamiaji wamechanganyikiwa wamejigeuza maafisa wa visa wa ofisi za ubalozi za nchi za nje
Nchi zote kenya,uganda,rwanda na burundi kote huko kuomba passport huombwi vitu vya kuomba visa! ni Tanzania tu pekee Africa mashariki ambapo muomba passport anatakiwa kupeleka vitu ambavyo huombwa na balozi za nje zikitaka kukupa VISA ambako mtu hutakiwa kupeleka barua ya mwaliko,leseni ya biashara kama ulivyosema nk ili wakupe VISA uende huko.UHamiaji umegeuka ofisi ya ubalozi wa nchi za nje!!!!!
Uhamiaji wao walitakiwa tu kutoa passport kwa kutumia kitambulisho cha uraia au birth certificate tu hayo mengine wamwachie muhusika akapambane na hali yake ubalozini kwenye nchi anakoenda!!
tunapolalamika kuwa uhamiaji hawako vizuri hatutanii wako nyuma mno na wakati