Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Ngariba alikuwa na haraka akakutoa ulimi akidhani labia minoraSerikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Ujenzi usioisha na ahadi ngumu kutekelezeka ndo uhuni wa ccm toka enzi na enzi shenzitaipuLakini si iko inajengwa?
Siku ikikamilika pia uje uanzishe uzi.
Una majungu kweli!! Kwani November tayari?Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
[emoji16][emoji16]Lakini si iko inajengwa?
Siku ikikamilika pia uje uanzishe uzi.
Wanamimina ahadi kimihemko na mizuka ya jukwaani,tatizo linakuwa kwenye kuzitekeleza.Kipindi cha uchaguzi kikiwadia wanakuambia hawakuahidi hayo halafu wanatiririka na ahadi mpya.Hii ni baada ya kuona sisi Watanzania hatuna Tabia ya kuhoji persistently,tunaanza kuimba mapambio ya hizi mpya na hakuna anayejali.Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Una maanisha hata hizi ilani/Sera na ahadi zote ni uongo?Sijaelewa.Siasa za Afrika ni uongo.
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Kama asubuhi unaamka unaenda job jioni umerudi ndani una peruzi JF siku inaisha, uko sawa kubwabwaja mdomo na kusema hakuna kinacho fanyika kwenye utawala huu, ila kama unatembea na kusafiri sehem mbalimbali ukaona vitu vinavyo fanyika uto sita kuumpa pongezi jiwe.Jamani tujifunze kushukuru na kupongeza kwa kinachofanyika, ukifika site ndipo utaelewa juhudi zilizopo, sidhani kama umefanikiwa kwenda kuona watu wanavyofanya kazi usiku na mchana kwenye maeneo ya kazi, changamoto huwa hazikosekani, hata Mungu alifanya kazi kwa awamu
Jamani tujifunze kushukuru na kupongeza kwa kinachofanyika, ukifika site ndipo utaelewa juhudi zilizopo, sidhani kama umefanikiwa kwenda kuona watu wanavyofanya kazi usiku na mchana kwenye maeneo ya kazi, changamoto huwa hazikosekani, hata Mungu alifanya kazi kwa awamu
Kama asubuhi unaamka unaenda job jioni umerudi ndani una peruzi JF siku inaisha, uko sawa kubwabwaja mdomo na kusema hakuna kinacho fanyika kwenye utawala huu, ila kama unatembea na kusafiri sehem mbalimbali ukaona vitu vinavyo fanyika uto sita kuumpa pongezi jiwe.
Hasante kwa kunikumbusha nilikuwa nimesha sahauSerikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.