Hii ni taarifa rasmi ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya wiki iliyopita. Ujenzi ndio uko 60%, kufikia Nov itakua imefikia 100%? Kama miaka 4 sasa iko 60%, siku 7 zilizobaki au siku 37 ndio itafika 100%?Ww una wivu
Kwan November tayar??
Alafu inaweza kuwa 30/11/2019.
Cha msing iwe november, ngoja tusubir.
Hii ni taarifa rasmi ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya wiki iliyopita. Ujenzi ndio uko 60%, kufikia Nov itakua imefikia 100%? Kama miaka 4 sasa iko 60%, siku 7 zilizobaki au siku 37 ndio itafika 100%?
Wewe huna akili ya kujadili mambo makubwa haya. Nenda jukwaa la celebrity ukajadiliane na wenzako kina menina, amba ruti. Hizi hoja za kiume huziwezi.Mjinga anapopambana na mafanikio ya JPM. Kwenye chemistry kuna kitu kinaitwa dilution, yaani, kutia maji kwenye solution ili kuipunguza concentration (in this case, mafanikio), sasa wewe naona unadilute JIWE. Hakika utapata tabu sana!!!!
Ndio umejibu nini sasa!!, Sijui kama umetumia uwezo wako wa mwishoWewe huna akili ya kujadili mambo makubwa haya. Nenda jukwaa la celebrity ukajadiliane na wenzako kina menina, amba ruti. Hizi hoja za kiume huziwezi.
huwezi kujenga madude hayo kwa propaganda za ‘pesa zipo’
Kifupi ni serikali ya kwenye makaratasiSerikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Umetumwa na mabeberu ?Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Mkuu siyo wewe tu hata Mimi yamenikuta huku niliko;Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.
Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.
Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Jikite kwenye madaMkuu siyo wewe tu hata Mimi yamenikuta huku niliko;
Chama changu kiliahidi kufikia September kitakuwa kishamaliza uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wake lakini mpaka sasahivi bado Wala hakuna dalili.
Mbunge wangu aliyefanyiwa roho mbaya na bunge la JMT aliniahidi atarudi mwezi wa Tisa mwanzoni lakini mpaka sasahivi bado hajarudi nakuwa namsikia tu Mara yuko London Mara ubeligiji.
Chama changu kilipanga kufanya maandano ya Ukuta kabla ya mwaka huu kuanza lakini napo bado haikutokea.
Chama changu hicho hicho kili ahidi kumjengea nyumba mama ake mawazo(Mbunge alieuawa geita 2015) pamoja nakumosemeshea mtoto wake lakini mpaka Sasa hakuna hata msingi wa single room Wala mtoto kwenda shule!
Au ndo viongozi wangu mlioko juu mmeshayatimiza kwenye maandishi na social media!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kwani shida nini ? kazi c ipo inafanyika au huoni.Tembea uone wewe sio kukurupuka kuandika hapa. Mradi kukamilika kipind fulani ni estimations tu ,changamoto zipo!Ahadi zikitolewa mnabeza ,zikitendeka bado mnabeza nyie mpoje?? Acheni serikali ifanye kazi.Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.