Serikali iliahidi reli ya SGR Dar-Morogoro itaanza Novemba 2019, hadi sasa hakuna kitu

Wakati wanawake wengine wanatafta wanaume wa maana wa kuwazalisha mama yako alikua wapi hadi kuja kuzaa mtu taahira kama wewe?
Hizi zote zinazokutesa mkuu wangu Ni laana za ukoo tu mlizonazo ndo maana Hadi leo bado unamunyonya maziwa dada ako uliye naye hapo kwenu baada ya kumuuza dada ako Amba ruti kwa wacheza XY&Z.
Jina lako na hiyo picha yako uliyoweka ukinyonya matiti ya dada ako Ni ushahidi tosha kabisa wa laana ya ukoo mliyonayo ndo maana hata serikali ililitambua Hilo ikaamua tu kumuachia dada ako mkubwa.. ko hata wewe sikushangai mkuu Najua yote haya unayofanya siyo wewe Bali Ni laana tu.
 
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.

Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?

Hazina hakuna Kitu na sasa nchi inaendeshwa kwa Kukopakopa tu kwa Mashirika na Wahisani huku Matajiri nao ama wakisumbuliwa na hata wakibembelezwa wachangie / wasaidie kusudi ' jaramba ' la nchi liweze Kusonga mbele. Hali ni mbaya na yawezekana hata Watu ' Central Bank ' wanalijua hili ila wanaogopa kuliweka wazi ili ' wasitumbuliwe ' halafu njia zao za kwenda Uani ( Chooni ) zikaanza kuota Nyasi ( Kutaabika na kuwa na Njaa kwa Kukosa Ulaji huo ) wa Kimadaraka. Pesa iliyopo na ambayo ndiyo huwa inatafutwa kwa haraka sana zile za Ndugu zetu wa Makao Upanga na hawa wa Makao Oysterbay na kidogo bila kuwasahau na wale wa Makao Posta Mpya mkabala na Jengo la Exim.
 
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.

Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?

We mpumbavu embu tumia akili na sio kiuno kufikiria. Mipango inachangamoto siku Zote.

Nia tunaiona. Na yapp mengi. Ndege Hizo. Watoto wanasoma. Nk. Changamoto Ni sehemu ya maisha. We hujawahi kupanga Kuvaa pichu moja mpaka jioni lakini ukakuta umejiarishiaaaa ikabidi ubadilishe. You are so stupid that I had to give you such Unbecoming example so as to awaken that ..... of yours.

Ukitumwa Uwe na akiba ya akili yako.
 
Hii ni taarifa rasmi ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya wiki iliyopita. Ujenzi ndio uko 60%, kufikia Nov itakua imefikia 100%? Kama miaka 4 sasa iko 60%, siku 7 zilizobaki au siku 37 ndio itafika 100%?

Hata ingekuwa barabara ya udongo mpya katika hiyo 40% inayobaki haiwezi kukamilika katika muda wa miezi miwili mpaka Moro. Tutegemee November 2020 kama maneno yatapungua na vitendo vitazidi.
 
Jikite kwenye mada
Tupo kwenye mada ya kutotumiza ahadi kwa wakati au kutotimiza kabisa. Tatizo Umedandia tu gari kwa mbele pasipo kujua liliko tokea!! Au pengine umeona ahadi nilizoziongelea Mimi Ni za kuhusu kuolewa wewe, Wanawake bhana akili zenu mnazijua nyie tu.
 
We mpumbavu embu tumia akili na sio kiuno kufikiria. Mipango inachangamoto siku Zote.

Nia tunaiona. Na yapp mengi. Ndege Hizo. Watoto wanasoma. Nk. Changamoto Ni sehemu ya maisha. We hujawahi kupanga Kuvaa pichu moja mpaka jioni lakini ukakuta umejiarishiaaaa ikabidi ubadilishe. You are so stupid that I had to give you such Unbecoming example so as to awaken that ..... of yours.
Ukitumwa Uwe na akiba ya akili yako.
Mshauri mama yako next time atafte mwanaume mwenye akili wa kumzalisha wadogo zako wasiwe kama wewe. Asizoe tu kila mwanaume anaekuja mbele yake, wengine mataaahira wanazaa mataahira kama wewe. Mshauri ajifunze kubana miguu.
 
Kuishiwa kubaya sana
Yaani umetafuta weee,ukaona udai reli!
This hillarious!mtanzania anadai reli Dar moro.
Panda Abood kwanza,kujenga reli si sawa na kujenga nyumba
Kuna factors nyingi huwa zinachelewesh ujenzi,kubwa ni mvua zikiwa nyingi watu wanasisima hata mwezi kupisha mvua zikate
 
Yale yale ! ya Waitara ya wewe kunywa bia , mambo ya barabara yatakusaidia nini ?
 
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.

Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Pia iliahidi kuijenga ,uliza pia kama haijajengwa?wengine utadhani mnafikir kwa kutumia nyayo,mangapi wewe umeahidi na hata robo hujayafanywa,sisi kwetu muhimu reli inajengwa hayo mambo sijui ya kwanini haijafunguliwa hayatusaidii.
 
Huna akili ya kujadili mada kama hizi kenge wewe. Kajadiliane na mashoga zako kina amba ruti namna ya kutafunwa.
 
Kuishiwa kubaya sana
Yaani umetafuta weee,ukaona udai reli!
This hillarious!mtanzania anadai reli Dar moro.
Panda Abood kwanza,kujenga reli si sawa na kujenga nyumba
Kuna factors nyingi huwa zinachelewesh ujenzi,kubwa ni mvua zikiwa nyingi watu wanasisima hata mwezi kupisha mvua zikate
Umelewa lakini kinachozungumzwa hapa?
 
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.

Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Kumbe umesema novemba,kwani imeshafika mbona unakihelehele sana.
 
Kwa SGR nampongeza raisi pia yapi wanajenga kwa kiwango cha juu sana, ishu sio kumaliza ishu ni ubora
 
Sasa ni March 2013, miaka minne baada ya muda uliopangwa kuanza kwa safari.

Chama Cha Mambuzi ni baba wa uongo.
Baba wa uongo ni shetani.
Chama Cha Mambuzi ni ......
 
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika hata 70%.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakya na umeme megawati 5,000 na itaanza kuuza nje ila hadi sasa sidhani hata megawati 1500 tumefikisha. 2025 itafika hata megawati 3000 hatujafikisha. Naunga mkono mradi wa umeme mto rufiji.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi kufikia 2020 nchi itakuwa ya viwanda, bado miezi 2 viwanda viko 4,000 kwenye makaratasi ila live havifiki hata 20.

Mwaka 2016 Serikali iliahidi itakua imehamia Dodoma once and for all, na kuuza Ikulu ya Dar es Salaam, hadi sasa serikali yote kivitendo iko Dar es Salaam, iko Dodoma kwenye makaratasi.

Je, Serikali yetu hii huwa inaamini kwenye miradi itakamilika kwa matamko? Kwanini inapenda kusema uongo wa wazi, au ukishakuwa kiongozi unaamini wote unaowaongoza hawana akili ila wewe?
Wamesema mpaka may 2023
 
Back
Top Bottom