Serikali iliahidi reli ya SGR Dar-Morogoro itaanza Novemba 2019, hadi sasa hakuna kitu

Kwa nini wananchi nao wasiwe wanaruhusiwa kufanya ziara za kushtukiza kwenye hiyo miradi ili nao wajionee kinachoendelea badala ya kuwa wanasubiri taarifa kwa wachache ambao huenda wakawa wanapotosha?
 
Ww una wivu
Kwan November tayar??
Alafu inaweza kuwa 30/11/2019.
Cha msing iwe november, ngoja tusubir.
Hii ni taarifa rasmi ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya wiki iliyopita. Ujenzi ndio uko 60%, kufikia Nov itakua imefikia 100%? Kama miaka 4 sasa iko 60%, siku 7 zilizobaki au siku 37 ndio itafika 100%?
 
Mjinga anapopambana na mafanikio ya JPM. Kwenye chemistry kuna kitu kinaitwa dilution, yaani, kutia maji kwenye solution ili kuipunguza concentration (in this case, mafanikio), sasa wewe naona unadilute JIWE. Hakika utapata tabu sana!!!!
 
Wewe huna akili ya kujadili mambo makubwa haya. Nenda jukwaa la celebrity ukajadiliane na wenzako kina menina, amba ruti. Hizi hoja za kiume huziwezi.
 
Wewe huna akili ya kujadili mambo makubwa haya. Nenda jukwaa la celebrity ukajadiliane na wenzako kina menina, amba ruti. Hizi hoja za kiume huziwezi.
Ndio umejibu nini sasa!!, Sijui kama umetumia uwezo wako wa mwisho
 
Alihamia Dodoma akarudi kimya kimya
Wakatangaza ndege inakuja leo wamekataa
 
huwezi kujenga madude hayo kwa propaganda za ‘pesa zipo’
 
Uliahidiwa na serikali au CCM?

Isijekuwa hizo ahadi ulikuwa wazisikia kwa kina Kibajaji na wenzake wakati wakichuana na Mamvi 2015
 
Kifupi ni serikali ya kwenye makaratasi
 
Sio mbaya kama lengo limefika 70% inamaana mpaka February au March mambo yatakuwa tayari.na acha hiyo roho mbaya yakutaka serikali ishindwe kuleta maendeleo
 
Umetumwa na mabeberu ?
 
Mkuu siyo wewe tu hata Mimi yamenikuta huku niliko;
Chama changu kiliahidi kufikia September kitakuwa kishamaliza uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wake lakini mpaka sasahivi bado Wala hakuna dalili.

Mbunge wangu aliyefanyiwa roho mbaya na bunge la JMT aliniahidi atarudi mwezi wa Tisa mwanzoni lakini mpaka sasahivi bado hajarudi nakuwa namsikia tu Mara yuko London Mara ubeligiji.

Chama changu kilipanga kufanya maandano ya Ukuta kabla ya mwaka huu kuanza lakini napo bado haikutokea.

Chama changu hicho hicho kili ahidi kumjengea nyumba mama ake mawazo(Mbunge alieuawa geita 2015) pamoja nakumosemeshea mtoto wake lakini mpaka Sasa hakuna hata msingi wa single room Wala mtoto kwenda shule!

Au ndo viongozi wangu mlioko juu mmeshayatimiza kwenye maandishi na social media!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Jikite kwenye mada
 
Itaisha usijali. Ndio maana tumeamua kuwachangisha kina Sikh na Ruge kiaina.
 
Kwani shida nini ? kazi c ipo inafanyika au huoni.Tembea uone wewe sio kukurupuka kuandika hapa. Mradi kukamilika kipind fulani ni estimations tu ,changamoto zipo!Ahadi zikitolewa mnabeza ,zikitendeka bado mnabeza nyie mpoje?? Acheni serikali ifanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…