Serikali iliahidi reli ya SGR Dar-Morogoro itaanza Novemba 2019, hadi sasa hakuna kitu

Ujenzi usioisha na ahadi ngumu kutekelezeka ndo uhuni wa ccm toka enzi na enzi shenzitaipu
Maoni haya yatawapa wapinzani umaarufu, na ifikapo 2020 watachukua dola maana wao ahadi zao wanatimiza - mfano UKUTA!
 
Labda mpeleke mama yako akaongezee nguvu.
Mmeishiwa hoja mmebaki kujiita vigogo[emoji28]
 
TALKING NONSENSE
 
Labda mpeleke mama yako akaongezee nguvu.
Mmeishiwa hoja mmebaki kujiita vigogo[emoji28]
Acha kujichekesha chekesha mbele ya wanaume za watu, tafta mume uolewe. Mbona mashoga wenzio wengi tu wameolewa, wewe unangoja nini?

Wakati wanawake wengine wanatafta wanaume wenye akili wa kuwazalisha mama yako alikua wapi hadi kupata baba aliekuzaa wewe? Mlaumu mama yako kwa kuzoa zoa tu kila mwanaume anaekuja mbele yake.
 
Anzisha mada yako uandike huo uharo wako. Kama mada ngumu huziwezi nenda jukwaa la celebrity ukajadiliane na wenzako kina amba ruti.
 
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema, toka nje kaangalie vizuri kama ni usiku kweli!
 
Anzisha mada yako uandike huo uharo wako. Kama mada ngumu huziwezi nenda jukwaa la celebrity ukajadiliane na wenzako kina amba ruti.
Mkuu bila shaka Amba rutu atakuwa firwamate wako ndo maana umemtaja kwenye jukwaa hili. Sisi tupo kwenye mjadala wa kujadili ahadi zisizo tekelezwa na wanaoziweka kwa wakati wewe unaleta matangazo ya kumpigia promo dada ako amba ruti kweli ukoo wenye laana utautambua kwa hoja zao.. poleni bhana muombeni tu Mungu awaoondolee hiyo laana maana yeye Ni mwenye kusamehe Saba Mara Sabini. Amen!
 
Wewe ni mpumbavu
 
Wewe ni mpumbavu
 
Wakati wanawake wengine wanatafta wanaume wa maana wa kuwazalisha mama yako alikua wapi hadi kuja kuzaa mtu taahira kama wewe?
 
Njia rahisi ya kutambua kwamba hauna akili timamu ni pale unapokubali kuamini ahadi za mwanasiasa
 
Hii ni taarifa rasmi ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya wiki iliyopita. Ujenzi ndio uko 60%, kufikia Nov itakua imefikia 100%? Kama miaka 4 sasa iko 60%, siku 7 zilizobaki au siku 37 ndio itafika 100%?
shukuru wanaendelea na kazi mpuuz wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…