Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

Labda angetumua tafsida kuwa kuko kushoto,mi huwa napita temeke mara moja kwa mwaka nikienda viwanja vya sabasaba, kwenye maonyesho ya biashara,sina cha kunipeleka huko
Kweli. Na wengine huko KMC pamewakalia kushoto, huwa wanapita kinondoni mara Moja Kwa mwaka wakienda Magufuli stand,hawana cha kuwapeleka huko
 
Naona kanisa hapo karibu na Magomeni kotaz? Uwanja ndiyo umejengwa maeneo hayo?
Mwamba umetisha, yaani kanisa lipo moja tu tena magomeni, hapo ni mwenge mzee, kama unaijua mitaa ya nakiete pharmacy basi nyuma kule
 
Naona kanisa hapo karibu na Magomeni kotaz? Uwanja ndiyo umejengwa maeneo hayo?
Mwamba umetisha, yaani kanisa lipo moja tu tena magomeni, hapo ni mwenge mzee, kama unaijua mitaa ya nakiete pharmacy basi nyuma kule
 
Watu wa Dar mnamatatizo. Yaan kutoka Hapo bunju kwenda Kwa Mkapa unapaona mbali wakati watu wanatoka mpaka mbeya, mwanza, Dodoma kuja kuangalia mechi Kwa Mkapa?
Hao ni vichaa wa mpira
 
Kumbe dreva wa Uber! Kwanza angalia inavyoandikwa! Hujui hata kuiandika! Bado una maziwa ya mama mdomoni! Hujui kula chapati kwa mchuzi! Hayo maneno uliwahi kuyasikia?
Y mimi mmanyema wa magomeni kitambo sana babu yangu kazalliwa town,tafuta hela uhame temeke huko ushenzini mkuu
 
Y mimi mmanyema wa magomeni kitambo sana babu yangu kazalliwa town,tafuta hela uhame temeke huko ushenzini mkuu
Mimi niko Washington DC. Temeke nina makazi pia kwa Tanzania. Hapo vipi? Ukija kuishi hapa huchelewi kusema Tanzania ni ushenzini watu wahame!
 
Vetenari,sokota,mtaa wa yombo,mikoroshini,mwembeyanga,sandali,mnc,unubini,chang'ombe,taifa,wailƩs,kurasini,mtongani,Kwa Aziz ally,temeke stereo,temeke hospital,temeke sudani majaribio,tandika,devis corner,dovya,chama,abiola,makangarawe,buza,kilakala,Kwa limboa,maguruwe,mtoni kijichi,mgeni nani,kichemchem,vikunai,njiapanda neruka,njia ya ng'ombe hapo ni kwa uchache kabisa baadhi ya maeneo
Huijui TMK wewe
Hakika mkuu haijui TMK huyo
 

Attachments

  • 7b877fd2070541eebc35877589c2f233.jpg
    27.8 KB · Views: 1
Ukitoa kijichi the rest ni ushenzini tu high density areas
 
lilikuwa kosa kubwa sana na huenda inatokana na serikali yetu kutokuwa na mipango ya muda mrefu. Walikurupuka baada ya kupewa ofa
 
Kifa Mburahati ilitakiwa ibomolewe wasimamishe uwanja mkubwa pale pia pale Karume wangepapanu na kujenga wa kisasa zaidi Ili Kila wilaya iwe na kiwanja kikuu.
Mwisho kabisa Kigamboni
 
Hivi siku hizi wahindi wanajenga bongo?
Maana nasikiaga wao wanapangaga Nyumba za NHC au Apartment kujenga no!!!
 
Una Hoja hasa kwanini Uwanja wa Mkapa ulijengwa mkabala na Uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) ila kuna mahala Umewadhalilisha sana Watu wa Temeke kwa kusema kuwa wengi Wao hawana Uchumi mzuri. Na sijui ni kwanini Wakazi wa maeneo mengine Dar es Salaam mnapenda Kuwadharau Watu wa Temeke.

Bahati nzuri nimekaa katika Wilaya zote Kubwa za Dar es Salaa ( Kinondoni, Ilala na Temeke ) kabla ya hizi zingine Mbili Kuongezwa na naomba nikuambie tu kuwa hata huko Temeke kuna Matajiri / Watu wenye Uwezo kuliko huko Kinondoni.

Nadhani Hoja yako hapo mwishoni ingekuwa si tu Kuwasifia KMC FC kwa Kujenga huo Uwanja bali ungetumia muda wako mwingi hapa ama Kuwaomba au Kuwalaumu Simba SC na hata Yanga SC kwanini mpaka sasa Wao kama Giants wa Mpira hapa Tanzania walionzishwa miaka ya 1935 na 1936 hawana Uwanja wowote hadi sasa?
 
Sawa nshomile!
 
Mimi niko Washington DC. Temeke nina makazi pia kwa Tanzania. Hapo vipi? Ukija kuishi hapa huchelewi kusema Tanzania ni ushenzini watu wahame!
Ona hili nalo hivi kwanini wanajamii forum mnapenda sana kufake life hili linasema halipo Tanzania kwamba lipo Washington DC lakini linavyochati tu linaonesha lipo tandale
 
Maeneo Yangu Temeke, Yombo Kisiwani, Yombo Kilakala, Temeke Mikoroshini
Mtaa Wa Yombo, Mwembe Yanga, Mwembe Radu
Tunjivunia Temeke , Temeke tunayo na tunatambana nayo.

Mimi mitaa yangu Yombo vituka , Lumo , Makangarawe , Buza ,Machimbo , kwa Limboa nk.

Kama TMK duni sana anaijua Mazense uswahilini ,Magomeni ,Mburahati nk jinsi kulivyo choka mbaya majumba duni kabisa ?
 
Umeongea point sana , Mimi niliyezaliwa Yombo Vituka na kucheza mitaa mingi ya Temeke amenisikitisha sana kijana . Kwa Tanzania asilmia kubwa maisha yetu hatuchekani haswa Dar huko kwa wastaarabu Kuna mitaa mingi choka mbaya ,uhuni hali ya juu , mpangilio mbovu wa makazi nk yeye hata Temeke Ina afadhali kubwa sana...
 
Enzi hizo temeke ilikuwa inajumuisha kigamboni ya Sasa, GSM anakaa huko na wanene wengi! Kurasini, viwanja Vina bei kuliko unavyodhani

Japo ukweli usemwe, Mbagala, Tandika, Kuna watu wengi Sana wa kipato cha chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…