Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hilo jina la "Port Access" watu wa kizazi hiki wengi hawawezi kulijua...Kuna barabara kama port access ambayo ambayo ilipaswa kuwa na iljengwa kama exxpress highway kutoka nje ya mji...
Aisee nimeshangaa sana,ulivosema ukiondoa kijichi kwamba the rest ni ushenzini, umenithibitishia kwamba kweli TMK huijui.Ukitoa kijichi the rest ni ushenzini tu high density areas
Hiyo ndio Mandela Road ilijengwa na kampuni ya Molem mwishoni nwa niaka ya 70 au mwanzoni nwa 80Hilo jina la "Port Access" watu wa kizazi hiki wengi hawawezi kulijua...
Umenikumbusha mbali Sana.. enzi kampuni ya Mowlem ilipokuwa inajenga Barabara ya Mandela...
Nakumbuka dereva mmoja wa Magari ya ujenzi ya Mowlem alikuwa anaitwa Faruq.Hiyo ndio Mandela Road ilijengwa na kampuni ya Molem mwishoni nwa niaka ya 70 au mwanzoni nwa 80
Kampuni ya waingereza ile baadae barabara nyingi zilikuja kujengwa na Kajima na Konoike,Nakumbuka dereva mmoja wa Magari ya ujenzi ya Mowlem alikuwa anaitwa Faruq.
Mbali ya kuwa dereva Faruq pia alikuwa ni mpiga na mcheza chakacha wa zama hizo.
Thamani ya hiyo plot bila nyumba haipungui milioni 400,hiyo hela temeke unapata plot 5Unapopasifia angalia picha ya eneo la karibu kabisa ni Fedheha..View attachment 3073765
Kabla ya Konoike na Kajima umeiruka MECCO.Kampuni ya waingereza ile baadae barabara nyingi zilikuja kujengwa na Kajima na Konoike,
Muhenga mwenzangu uko vizuri
Nasikia aikuwa mseng*eNakumbuka dereva mmoja wa Magari ya ujenzi ya Mowlem alikuwa anaitwa Faruq.
Mbali ya kuwa dereva Faruq pia alikuwa ni mpiga na mcheza chakacha wa zama hizo.
Kampuni ya waingereza ile baadae barabara nyingi zilikuja kujengwa na Kajima na Konoike,
Muhenga mwenzangu uko vizuri
Hivi mahusiano ya Tanzania na Japan yapoje sasa hivi? Nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa.Kabla ya Konoike na Kajima umeiruka MECCO.
MECCO walikuwa wanajenga Barabara hovyo hovyo Sana. Nadhani kama siyo ujuzi wao ulikuwa mdogo basi walikuwa wanapewa Bajeti ndogo.
Nimekumbuka walikua na mradi wa magari ya kampuni za ki Japan Kila jioni yalipita kupuliza dawa ya mbu katika mitaa ya Jiji la DAR.Hivi mahusiano ya Tanzania na Japan yapoje sasa hivi? Nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa.
Ni kipindi sasa sijaona ushirikiano wa karibu kama miaka ya nyuma at least kwa miradi mikubwa mikubwa.
Labda kwenye kuhuziana Ma VX,Hivi mahusiano ya Tanzania na Japan yapoje sasa hivi? Nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa.
Ni kipindi sasa sijaona ushirikiano wa karibu kama miaka ya nyuma at least kwa miradi mikubwa mikubwa.
Japan tulikuwa na uhusiano wa karibu nao sana. Ilikuwa kama ndiyo wafadhili no 1. Sijui nini kilitokea hapo kati. Labda tulivyojisogeza karibu na China wao wakaamua kurudi nyuma.Nimekumbuka walikua na mradi wa magari ya kampuni za ki Japan Kila jioni yalipita kupuliza dawa ya mbu katika mitaa ya Jiji la DAR.
Ila huwa nikiangalia naona kama tunalipa premium prices kwa hayo magari, sioni unafuu wa bei tunaoupata. Au tunajaribu kuwalipa fadhila au kuwa seduce?Labda kwenye kuhuziana Ma VX,
Unakumbuka shule za JICA uko sahihi Japan wamepunguza sana misaada kwetuJapan tulikuwa na uhusiano wa karibu nao sana. Ilikuwa kama ndiyo wafadhili no 1. Sijui nini kilitokea hapo kati. Labda tulivyojisogeza karibu na China wao wakaamua kurudi nyuma.
Hakuna hata kiongozi mmoja anayepinga serikali kuhusu matumizi ya hayo magari zaidi ya wananchi wa kawaida,bila shaka kuna nakubaliano au mkataba wa siri kati ya Japan na Tanzania unaoibana serukali kuendelea kununua hayo magariIla huwa nikiangalia naona kama tunalipa premium prices kwa hayo magari, sioni unafuu wa bei tunaoupata. Au tunajaribu kuwalipa fadhila au kuwa seduce?
Kabisa... Hata ile miradi kama ya umwagiliaji au mambo ya Elimu imepungua Sana siku hizi.Hivi mahusiano ya Tanzania na Japan yapoje sasa hivi? Nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa.
Ni kipindi sasa sijaona ushirikiano wa karibu kama miaka ya nyuma at least kwa miradi mikubwa mikubwa.