Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

Kuna barabara kama port access ambayo ambayo ilipaswa kuwa na iljengwa kama exxpress highway kutoka nje ya mji...
Hilo jina la "Port Access" watu wa kizazi hiki wengi hawawezi kulijua...

Umenikumbusha mbali Sana.. enzi kampuni ya Mowlem ilipokuwa inajenga Barabara ya Mandela...
 
Unapopasifia angalia picha ya eneo la karibu kabisa ni Fedheha..
IMG_20240819_085913.jpg
 
Ukitoa kijichi the rest ni ushenzini tu high density areas
Aisee nimeshangaa sana,ulivosema ukiondoa kijichi kwamba the rest ni ushenzini, umenithibitishia kwamba kweli TMK huijui.
 
Hilo jina la "Port Access" watu wa kizazi hiki wengi hawawezi kulijua...

Umenikumbusha mbali Sana.. enzi kampuni ya Mowlem ilipokuwa inajenga Barabara ya Mandela...
Hiyo ndio Mandela Road ilijengwa na kampuni ya Molem mwishoni nwa niaka ya 70 au mwanzoni nwa 80
 
Nakumbuka dereva mmoja wa Magari ya ujenzi ya Mowlem alikuwa anaitwa Faruq.

Mbali ya kuwa dereva Faruq pia alikuwa ni mpiga na mcheza chakacha wa zama hizo.
 
Kampuni ya waingereza ile baadae barabara nyingi zilikuja kujengwa na Kajima na Konoike,
Muhenga mwenzangu uko vizuri
 
Kabla ya Konoike na Kajima umeiruka MECCO.

MECCO walikuwa wanajenga Barabara hovyo hovyo Sana. Nadhani kama siyo ujuzi wao ulikuwa mdogo basi walikuwa wanapewa Bajeti ndogo.
 
Hivi mahusiano ya Tanzania na Japan yapoje sasa hivi? Nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa.

Ni kipindi sasa sijaona ushirikiano wa karibu kama miaka ya nyuma at least kwa miradi mikubwa mikubwa.
 
Nimekumbuka walikua na mradi wa magari ya kampuni za ki Japan Kila jioni yalipita kupuliza dawa ya mbu katika mitaa ya Jiji la DAR.
 
Labda kwenye kuhuziana Ma VX,
 
Wenye uchumi mkubwa hawaendi uwanjani, tambua hilo
Mambo yamebadilika ndugu yangu moira umekuwa kama imani,ndio naana KMC utajaa,tajiri gabi angeenda temeke kuangalia mpira na wahuni wanakusubiri nje wakupore
 
Nimekumbuka walikua na mradi wa magari ya kampuni za ki Japan Kila jioni yalipita kupuliza dawa ya mbu katika mitaa ya Jiji la DAR.
Japan tulikuwa na uhusiano wa karibu nao sana. Ilikuwa kama ndiyo wafadhili no 1. Sijui nini kilitokea hapo kati. Labda tulivyojisogeza karibu na China wao wakaamua kurudi nyuma.
 
Labda kwenye kuhuziana Ma VX,
Ila huwa nikiangalia naona kama tunalipa premium prices kwa hayo magari, sioni unafuu wa bei tunaoupata. Au tunajaribu kuwalipa fadhila au kuwa seduce?
 
Japan tulikuwa na uhusiano wa karibu nao sana. Ilikuwa kama ndiyo wafadhili no 1. Sijui nini kilitokea hapo kati. Labda tulivyojisogeza karibu na China wao wakaamua kurudi nyuma.
Unakumbuka shule za JICA uko sahihi Japan wamepunguza sana misaada kwetu
 
Ila huwa nikiangalia naona kama tunalipa premium prices kwa hayo magari, sioni unafuu wa bei tunaoupata. Au tunajaribu kuwalipa fadhila au kuwa seduce?
Hakuna hata kiongozi mmoja anayepinga serikali kuhusu matumizi ya hayo magari zaidi ya wananchi wa kawaida,bila shaka kuna nakubaliano au mkataba wa siri kati ya Japan na Tanzania unaoibana serukali kuendelea kununua hayo magari
 
Hivi mahusiano ya Tanzania na Japan yapoje sasa hivi? Nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa.

Ni kipindi sasa sijaona ushirikiano wa karibu kama miaka ya nyuma at least kwa miradi mikubwa mikubwa.
Kabisa... Hata ile miradi kama ya umwagiliaji au mambo ya Elimu imepungua Sana siku hizi.
 
Naunga Mkomi.Kigamboni wajenge Puna yale yale huko.
 
Back
Top Bottom