Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Yanga wamekimbia Chamazi

Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Mkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa.

Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna uhaba wa ardhi nchini,

Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa.

Mimi binafsi huwa naenda uwanja wa Mkapa kwa matukio muhimu ya kiserikali, mechi ya mwisho na mwanzo kwenda ilikuwa Simba na Yanga ile sare ya 3-3 miaka takribani kumi.

Temeke kuna wahuni wengi sana na hawana uwezo kiuchumi, siwezi kutoka Ununio eti niende Taifa kuabgalia mechi ya Simba na Namungo.

KMC wametufungua macho, mpira sasa unapendwa na kada zote,wastaarabu na wasomi.

Uwanja wa KMC hata mechi ndogo ukiweka kiingilio cha 10000 unajaa.

Pia soma: Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao

Jimbo la Kawe na Kinondoni ndio majimbo ya watu wenye uwezo hapa Daslam na Tanzania kwa ujumla. 10,000 kwa wakazi wa Temeke ni hela nyingi mno.

Hongera KMC, nawasihi Simba msirudi kwa Mkapa labda kwenye derby tu.huo ndio uwe uwanja wenu, kwanza Mwenge na Bunju sio mbali.

Haters mpooo
 
Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Nkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa.

Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja,hatuna uhaba wa ardhi nchini,

Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa.

Mimi binafsi huwa naenda uwanja wa Mkapa kwa matukio muhimu ya kiserikali,mechi ya mwisho na mwanzo kwenda ilikuwa Simba na Yanga ile sare ya 3-3 miaka takribani kumi.

Temeke kuna wahuni wengi sana na hawana uwezo kiuchumi,siwezi kutoka Ununio eti niende Taifa kuabgalia mechi ya Simba na Namungo

KMC wametufungua macho,mpira sasa unapendwa na kada zote,wastaarabu na wasomi.

Uwanja wa KMC hata mechi ndogo ukiweka kiingilio cha 10000 unajaa.

Jimbo la Kawe na Kinondoni ndio majimbo ya watu wenye uwezo hapa Daslam na Tanzania kwa ujumla.
10,000 kwa wakazi wa Temeke ni hela nyingi mno

Hongera KMC,nawasihi Simba msirudi kwa Mkapa labda kwenye derby tu.huo ndio uwe uwanja wenu,kwanza Mwenge na Bunju sio mbali.

Haters mpooo
Naunga mkono hoja
 
kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini au watu wa chini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk ni masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
 
kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk na masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
Nimezaliwa Dar es Salaam ikiwa na watu chini ya milioni moja.kihistoria unaweza kuwa sahihi kidogo ila kiuhalisia Temeke ni wikaya ya low income,sehemu ya bandari,makampuni ya mafuta,magodown,viwanda viko Temeke ila senior staff wanaishi wilaya zingine,
Hilo sio swala la mjadala kuhusu naisha duni ya wakazi wa Temeke kulinganisha na wilaya zingine za mkoa wa DSM,
 
Pale Mwenge ni eneo zuri kuweka uwanja shida uwanja ni mdogo. Mimi mwenyewe natakaga sana kwenda kucheki mechi ili nikifikiria usumbufu wa kufika kwa Mkapa au Chamazi naghairi, ila pale Mwenge chap tu.

Wakati wa ujenzi au design, Manispaa kama haikuwa na pesa za kutosha ingetafuta wadau ikiwemo Simba ingeongeza eneo pale kabla ya ujenzi wa uwanja huu ili kupata majukwaa makubwa zaidi. Ona leo watu kibao wamesimama. Hii haipendezi. Ina maana unaweza kununua tiketi ukakosa pa kukaa ukizingatia uwanja hauna siti una mabenchi ya mbao kwa hiyo capacity yake ni ya kukadiria.
 
kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk na masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
Nimezaliwa Dar es Salaam ikiwa na watu chini ya milioni moja.kihistoria unaweza kuwa sahihi kidogo ila kiuhalisia Temeke ni wikaya ya low income,sehemu ya bandari,makampuni ya mafuta,magodown,viwanda viko Temeke ila senior staff wanaishi wilaya zingine,
Hilo sio swala la mjadala kuhusu naisha duni ya wakazi wa Temeke kulinganisha na wilaya zingine za mkoa wa DSM,
 
Nimezaliwa Dar es Salaam ikiwa na watu chini ya milioni moja.kihistoria unaweza kuwa sahihi kidogo ila kiuhalisia Temeke ni wikaya ya low income,sehemu ya bandari,makampuni ya mafuta,magodown,viwanda viko Temeke ila senior staff wanaishi wilaya zingine,
Hilo sio swala la mjadala kuhusu naisha duni ya wakazi wa Temeke kulinganisha na wilaya zingine za mkoa wa DSM,

hizo unazoziita wilaya nyingine zina maeneo mapya mengi ambayo kihistoria hayakuwa sehemu ya Dar, hivyo ukiangalia kihistoria kwangu mimi uwanja umejengwa strategic sana tu kuna barabara kama port access ambayo ambayo ilipaswa kuwa na iljengwa kama express highway kutoka nje ya mji, siyo mbali na city center, airport, nk. labda nikuulize eneo gani la dar ambalo unafikiri uwanja ulipaswa kujengwa ambalo linaweza kuwa bora zaidi ya hapo pa sasa hivi labda tungejadili hapo halafu ndiyo tutaona pro and cons za hilo eneo la sasa hivi ukilinganisha na hilo (eneo) ambalo ungelipendekeza …
 
kwa taarifa yako wilaya ya tmk kihistoria waliishi middle class mfano Chang’ombe au Kurasini na masikini waliishi kariakoo, hivyo siyo kweli kwamba wilaya ya tmk na masikini eneo la kurasini kote ni tmk ambapo hata Kardinali Pengo aliishi, tmk kuna viwanda vingi sana tu infrastructure ya kufa mtu, tmk usichukulie poa labda kama hauilewi Dar na historia yake …
Ata uwanja wa ndege ulikua apo kwenye Kambi ya JW opposite na chuo Cha uhasibu na juu yake ilikua mitambo ya mawasiliano (wireless) waswahili wakapaita Wailes kwasasa Pana shule.
Ukivuka upande wa pili Kuna Chang'ombe kota walikua wakikaa wahindi waliokua wakinisidia Serikali ya kikoloni kuongoza waswahili.
Kwa Azizi Ally walikua waswahili kidogo na mashamba kuelekea Chamaz na Mkuranga.

Mji wa DAR ulikua Magomeni ukasogea mpaka Kariakoo.
Uku Chang'ombe na Oster bay kulikua kwa watu wakubwa, Oster Bay walikua wakikaa Wazungu wenyewe.
 
hizo unazoziita wilaya nyingine zina maeneo mapya mengi ambayo kihistoria hayakuwa sehemu ya Dar, hivyo ukiangalia kihistoria kwangu mimi uwanja umejengwa strategic sana tu kuna barabara kama port access ambayo ambayo ilipaswa kuwa na iljengwa kama exxpress highway kutoka nje ya mji, siyo mbali na city center, labda nikuulize eneo gani la dar ambalo unafikiri uwanja ulipaswa kujengwa ambalo linaweza kuwa bora zaidi ya hapo pa sasa hivi labda tungejadili hapo halafu ndiyo tutaona pro an cons za hilo eneo la sasa hivi ukilinganisha na hilo (eneo) ambalo ungelipendekeza …
Siong

Siongelei uwanja wa uhuru naongelea Mkapa,ambao umejengwa term ya nwisho ya Rais Mkapa,ni juzi tu,mji ulishajipambanua kuwa uswahilini ni wapi na ushuani ni wapi badhani ilikuwa 2003.

Ule wa uhuru ni sawa huko Temeke na kawe ilikuwa nje ya mji

Strategically miundombinu inayovutia watu wengi inatakiwa kujengwa nje ya mji kupunguza msongamano,
 
Ata uwanja wa ndege ulikua apo kwenye Kambi ya JW opposite na chuo Cha uhasibu na juu yake ilikua mitambo ya mawasiliano (wireless) waswahili wakapaita Wailes kwasasa Pana shule.
Ukivuka upande wa pili Kuna Chang'ombe kota walikua wakikaa wahindi waliokua wakinisidia Serikali ya kikoloni kuongoza waswahili.
Kwa Azizi Ally walikua waswahili kidogo na mashamba kuelekea Chamaz na Mkuranga.

Mji wa DAR ulikua Magomeni ukasogea mpaka Kariakoo.
Uku Chang'ombe na Oster bay kulikua kwa watu wakubwa, Oster Bay walikua wakikaa Wazungu wenyewe.
My friend mimi naongelea uwanja wa mkapa uliojengwa 2003 sio huo uhuru,uhuru ulijengwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi,ila Mkapa hapana
 
Back
Top Bottom