Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Jiwe alitamani hata kurudisha mabasi ya serikali kwenda mikoani, mfano dar mbeya kitu yutong number STL...🤣🤣🤣🤣Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka.
Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili
*Shirika la mawasiliano TTCL
*Shirika la ndege ATCL
*Shirika la umeme tanesco
*Shirika la reli
Bado tuna safari kubwa sana
Umesahau benki ya posta, sasa TCB kama sikosei.Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka.
Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili
*Shirika la mawasiliano TTCL
*Shirika la ndege ATCL
*Shirika la umeme tanesco
*Shirika la reli
Bado tuna safari kubwa sana