Serikali ilitakuwa hizi sehemu sio kuwa mfanyabiashara bali muungaji mkono

Serikali ilitakuwa hizi sehemu sio kuwa mfanyabiashara bali muungaji mkono

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka.

Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili
*Shirika la mawasiliano TTCL
*Shirika la ndege ATCL
*Shirika la umeme tanesco
*Shirika la reli

Bado tuna safari kubwa sana
 
Kwa kuongezea
Shurika la reli
Vyama vya wakulima
Vyama vya ushirika
Mamlaka za maji
Mamlaka za vyakula na dawa

Serikali ilitakiwa kujitoa kabisa badala yake ibinafsishe Ila iwechini ya uangalizi wa serikali maana
Hayo yote yanaenda kufanya kazi chini ya kiwango ile Hali kubgekuwa na ushindani kama yalivyo makampuni ya simu mambo yangekuwa tofauti

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka.

Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili
*Shirika la mawasiliano TTCL
*Shirika la ndege ATCL
*Shirika la umeme tanesco
*Shirika la reli

Bado tuna safari kubwa sana
Jiwe alitamani hata kurudisha mabasi ya serikali kwenda mikoani, mfano dar mbeya kitu yutong number STL...🤣🤣🤣🤣
 
Kama leo hii mpaka muda huu maeneo ya Mwanga- KLM hakuna umeme.

TANESCO ilishajifia, ibinafsishwe.
 
Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka.

Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili
*Shirika la mawasiliano TTCL
*Shirika la ndege ATCL
*Shirika la umeme tanesco
*Shirika la reli

Bado tuna safari kubwa sana
Umesahau benki ya posta, sasa TCB kama sikosei.
 
Back
Top Bottom