Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu.
Je serikali inafahusika ina maelezo yoyote ya ziada?
Haiwezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tu.
Wengi wanashindwa kuelewa
Nani ameajiriwa hizo nafasi 680 zilizo baki?
Kuna utata mkubwa na imetoa majina bila maelezo yoyote.
Tunaomba serikali ijitokeze na ieleze hizo nafasi 680 ambazo hazijapata madaktari zimejazwa na nani na ni lini zitajazwa.
Kitu gani kimetokea hadi serikali imepunguza nafasi za ajira toka 726 hadi 45?