Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Kama ambavyo kuna ambao walifeli written kuingia oral, ndivyo hivyo hivyo hao zaidi ya 2k walifeli kupata ajira.Oral waliingia zaidi ya 2000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambavyo kuna ambao walifeli written kuingia oral, ndivyo hivyo hivyo hao zaidi ya 2k walifeli kupata ajira.Oral waliingia zaidi ya 2000
Huu ni mpango mchafu wa kumchafua Rais wa nchi.. Sekretarieti ya ajira ijitafakari na isimcjafue Rais wa nchi
- Huu ndio mkakati mahsusi wa Samia kuboresha Sekta ya Afya
TOKA MAKTABA:
11 July 2024
Huu ndio mkakati mahsusi wa Samia kuboresha Sekta ya Afya
View attachment 3129226
Na Daniel Mbega, Dar es Salaam
JUMAPILI, Julai 7, 2024, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitangaza nafasi mpya za ajira 9,483 katika Sekta ya Afya, ukiwa ni mwendelezo wa utekelezaji wa mkakati mahsusi wa Rais Samia katika kuiboresha Sekta ya Afya.
Tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa lilieleza kuwataka Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo 9,483 kwenye sekta hiyo katika kada takriban 38.
Miongoni mwa nafasi hizo ni daktari bingwa wa kinywa na meno daraja la II, madaktari wa upasuaji wa kinywa na meno daraja la II 111, madaktari bingwa wa watoto 4, madaktari bingwa wa magonjwa ya ndani 7, madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama 9, Madaktari wa upasuaji 5, daktari bingwa wa masikio, pua na koo 1, madaktari (Medical officer II) 726 na wauguzi 2,282

Nmejibu kama timamu ambaye hana ushabiki wa kisiasaUSijibu kama mwana ccm tafadhali
Propaganda za Samia.Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu.
Je serikali inafahusika na huu utapeli? Au kuna maelezo yanatakiwa kutolewa?
Haiwezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tu.
Wengi wanaona kuna kitu chini ya kapeti.
Nani ameajiriwa hizo nafasi 680 zilizo baki?
Kuna utata mkubwa na imetoa majina bila maelezo yoyote.
Tunaomba serikali ijitokeze na ieleze hizo nafasi 680 ambazo hazijapata madaktari zimejazwa na nani na ni lini zitajazwa.
Kitu gani kimetokea hadi serikali imepunguza nafasi za ajira toka 726 hadi 45?
Umeeleweka vizuri mkuu,Nitaka nitoe ufafanuzi juu ya ajira za afya zilizotoka juzi,,,,
Ajira hizi mwajiri wake ni wizara ya afya anayesimamia ajira za taasisi za serkali kama vile vyuo vikuu vilivyo na vituo vya afya, hospitali za mikoa, hospital za Kanda na hospital ya Taifa, majeshini nk
Kuhusu walioajiriwa
Maadam anayeratibu ni UTUMISHI kupitia ajira portal, yeyote aliyefaulu usahili anaajiriwa yoyote aliyefaulu usaili wa mahojiano.
Kama Kuna mtu alifanya usahili tarehe hizo tajwa na akafahulu , wizara ili omba watu hao kutoka kwenye data base ya UTUMISHI wakawapatia watu walionao.
Kuhusu hizi za Tamisemi ambazo ndo ni za watu wengi zaidi zitatoka hivi karibuni na mwajiri wake atakuwa ni mkoa husika yaan LGAS na MGAS kwo tuwe watulivu maana ajira za afya under Tamisemi zilizoratibiwa na sekretariet ya ajira
Wapo watu kama 10k + ambao tayari wameshapangiwa vituo na majina Yao yatatoka muda SI mrefu.
Nawasilisha.
Mimi naona ni mapema Sana kulalamika kama ulivyosema mwenyewe ni jana tu wametangaza hayo majina.Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu.