Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata mkuuNitaka nitoe ufafanuzi juu ya ajira za afya zilizotoka juzi,,,,
Ajira hizi mwajiri wake ni wizara ya afya anayesimamia ajira za taasisi za serkali kama vile vyuo vikuu vilivyo na vituo vya afya, hospitali za mikoa, hospital za Kanda na hospital ya Taifa, majeshini nk
Kuhusu walioajiriwa
Maadam anayeratibu ni UTUMISHI kupitia ajira portal, yeyote aliyefaulu usahili anaajiriwa yoyote aliyefaulu usaili wa mahojiano.
Kama Kuna mtu alifanya usahili tarehe hizo tajwa na akafahulu , wizara ili omba watu hao kutoka kwenye data base ya UTUMISHI wakawapatia watu walionao.
Kuhusu hizi za Tamisemi ambazo ndo ni za watu wengi zaidi zitatoka hivi karibuni na mwajiri wake atakuwa ni mkoa husika yaan LGAS na MGAS kwo tuwe watulivu maana ajira za afya under Tamisemi zilizoratibiwa na sekretariet ya ajira
Wapo watu kama 10k + ambao tayari wameshapangiwa vituo na majina Yao yatatoka muda SI mrefu.
Nawasilisha.
Wakuu wakuuu Pdf …Nimekupata mkuu
Tangazo lilihusu TAMISEMI na mwajiri ni mkoa husika. Cha ajabu majina watu wanaitwa kwenda WIZARA YA AFYA na MATAASIS ina maana tangazo la tamisemi ajira ndio zimepelekwa wizara ya afya?Wataitwa taratibu taratibu hadi wote watimie,na unaweza kuta wakaitwa zaidi ya hao kutokana na mahitaji ya Taasisi husika kuomba vibali Serikalini.
Endelea kufuatilia PDF zao zote kadri zinavyotoka