Pole pole ndiyo mpango gentleman, relax πMwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tuu.
Je serikali inafahusika na huu utapeli? Au kuna maelezo yanatakiwa kutolewa ?
Haiqezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tuu.
Wengi wanaona kuna kitu chini ya kapeti.
Nani ameajiriwa hizo nafasi 680 zilizo baki?
Kuna utata mkubwa na imetoa majina bila maelezo yoyote.
Tunaomba serikali ijitokeze na ieleze hizo nafasi 680 ambazo hazijapata madaktari zimejazwa na nani na ni lini zitajazwa.
Kitu gani kimetokea hadi serikali imepunguza nafasi za ajira toka 726 hadi 45?
Ngoja kukuche nifuatilie ofisi husika kwa simu. Kesho nitaleta majibu halisi. (Investigative journalism).Yamesha toka mkuu
Mitano tena kwa MamaMwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu.
Je serikali inafahusika na huu utapeli? Au kuna maelezo yanatakiwa kutolewa?
Haiqezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tu.
Wengi wanaona kuna kitu chini ya kapeti.
Nani ameajiriwa hizo nafasi 680 zilizo baki?
Kuna utata mkubwa na imetoa majina bila maelezo yoyote.
Tunaomba serikali ijitokeze na ieleze hizo nafasi 680 ambazo hazijapata madaktari zimejazwa na nani na ni lini zitajazwa.
Kitu gani kimetokea hadi serikali imepunguza nafasi za ajira toka 726 hadi 45?
Yeah wanatangaza za kuombea kura.Bila shaka ni mgeni wa utumishi π kaa kwa kutulia hakuna kosa lililofanyika
Waliingia oral wangapUnataka kusema ni jambo la kawaida kutangaza nafasi 726 kumbe wanaotakiwa ni 45?
Hii sio siasa, acha ufaraPole pole ndiyo mpango gentleman, relax π
Waliingia oral wangap?Unataka kusema madaktari wasio na ajira nchi hii hawafiki 100?