Serikali iliwezaje kutoa ajira za ualimu kwa watu wasio walimu na kuwaacha waliosomea ualimu, pachunguzwe

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,432
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika

Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani

Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea

JamiiForums kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo

Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali

Tutafakari kama Taifa,
 
Hao uliowataja sio walimu wanafanya kazi za kufundisha au ni supporting staff? Kabla hujaipa kazi JF jipe kazi kwanza wewe.

Huko mashuleni kuna walinzi, wafagizi, wapishi, wahasibu nk hawa ni non-teaching staff. Isijekuwa walalamikaji ndio hilo kundi
 
Soma vizuri ndipo utoe maoni
 
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika

Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani

Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea

Jamii forum kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo

Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali

Tutafakari kama Taifa,
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 14
Hao uliowataja sio walimu wanafanya kazi za kufundisha au ni supporting staff? Kabla hujaipa kazi JF jipe kazi kwanza wewe.

Huko mashuleni kuna walinzi, wafagizi, wapishi, wahasibu nk hawa ni non-teaching staff. Isijekuwa walalamikaji ndio hilo kundi
Nadhani anazungumzia walimu walioajiriwa kwa masomo mapya kama vile business studies n.k. Hapa kuwa na walimu waliosomea somo hilo maana ndiyo limeanza kufundishwa mwaka 2024. Na kwakuwa hapa kuwa na walimu hao, ilipazimu walimu wa somo la commerce ndiyo wahusike.

Changamoto ikawa, hapa kuwa na walimu wengi waliosoma somo la commerce na bookkeeping, ikalazimu hata kama mtu hakusomea ualimu lakini amesoma commerce au bookkeeping basi aajiriwe kwa ajili ya somo hilo la business studies.
 
Ualimu siyo profession kama uhasibu, uwakili au udaktari, hutokea wakati mwingine mtu ambaye hajasomea ualimu akawa fasaha ktk kusomesha somo fulani kuliko aliyesomea ualimu. Kunaweza tokea Economist mzuri ktk accountancy lakini haruhusiwi kufanya formal accounting duties, ila kama kuna qualified accountant ambaye ni mzuri ktk Economics anaweza peform duties za Economists
 
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika

Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani

Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea

Jamii forum kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo

Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali

Tutafakari kama Taifa,
Sijui kama kuna kupewa sasa hivi maana watu wanapitia ajira portal na kufanya interviews ukiona wana sifa ila hawajaajiriwa wamekandwa kwenye interviews
 
Hawa wanaofundisha elimu ya Amali ni bora wakachukuliwa mafundi kamili wa veta au wa mtaani kuliko kutumia hawa hawa wa kila siku
 
Ualimu sio professional mkuu MTU yeyote anaweza akafundisha
kauli kama hizi ndio zinafanya kila mwaka takriban 75% ya wanafunzi wa shule za msingi wamepata alama sifuri kwenye somo la Hesabu.
Wazungu kwao Elimu ndio kipaumbele #1. Wameweka hadi universities za kuongeza tu maarifa...malum kwa wale wenye pass za chini kabisa wanaotaka tu kuelimika....
 
Unaweza unaweza kupita kwenye usaili na kupangiwa kituo kabisa na jina likaingizwa kwenye payrall ukaanza kulamba mshahara. Ishu itakuja hutapanda daraja mpaka uthibitishwe kazini na kupewa barua ya ajira na idara ya walimuTSD/TSC. Hii idara itataka cheti cha chuo cha ualimu tu, haitambui vyeti vya taaluma zingine. Hautatambuliwa kama ni mwalimu hata ufundishe shule nzima ifaulu! Utakuja kuonekana ni mfanyakazi hewa na unaweza kuoneolewa kwenye payrall na huna pa kwenda kushitaki hata kama tayari ulikuwa mwanachama wa CWT au kile chama kingine hawataweza kukusaidia pamoja na kuwa huenda ukawa na cheo huko ngazi ya tawi, wilaya, mkoa au taifa. Zile ajira hutaka cheti cha ualimu tu
 
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika

Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani

Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea

Jamii forum kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo

Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali

Tutafakari kama Taifa,
Waliosoma ualimu wa biashara wapo chini ya TSC kama waliajiriwa bila kuwa na education wanakuwa chini ya board ya biashara i think ila wanatakiwa kwenda kusoma either postgraduate diploma ya education ili waweze kukidhi vigezo wawe chini ya TSC na hii ilitokea baada yakukosekana kwa walimu wa biashara maana wengi walichkuliwa nadhani ndio waliochkuliwa kwa kiwango kikubwa kulingana na idadi ya waliokuwa wanachkua hayo masomo
 
Changamoto ni kuwa wapo walimu waliosoma masomo hayo ..lakini hawajapata ajira ..wasio na sifa za ualimu wamepata ajira ..ndio pachunguzwe
 
Back
Top Bottom