Serikali iliwezaje kutoa ajira za ualimu kwa watu wasio walimu na kuwaacha waliosomea ualimu, pachunguzwe

Serikali iliwezaje kutoa ajira za ualimu kwa watu wasio walimu na kuwaacha waliosomea ualimu, pachunguzwe

Changamoto ni kuwa wapo walimu waliosoma masomo hayo ..lakini hawajapata ajira ..wasio na sifa za ualimu wamepata ajira ..ndio pachunguzwe

Shida watu mnakurupuka pasipo kufanya research na ndio shida ya watanzania wengi,wanaendeshwa kwa hisia pasipo facts, issue ni hivi kunamasomo yalianzishwa yalikuwa hayana wataalamu wa kuyafundisha mfano kunashule wanafundisha masomo ya animal production,animal nutrition na kadharika,sasa walimu wenye taaluma hiyo hakuna,pia kulikua hakuna chuo iliyokua inatoa taaluma hiyo,nadhani mwaka jana ndio wameanza kuzalisha wataalamu hao SUA.
 
Changamoto ni kuwa wapo walimu waliosoma masomo hayo ..lakini hawajapata ajira ..wasio na sifa za ualimu wamepata ajira ..ndio pachunguzwe
Kama alisoma ualimu na akafeli interview je? Kwa asilimia kubwa walimu wa biashara wamechkuliwa wengi sana hadi kulazimika kuchkua watu wa accounts ila lazma wakachkue kozi ya kufundisha masomo yao.
 
Shida ya serikali ya hii nchi ni kukurupuka na kutokuwa na mipango. Walipaswa kuandaa walimu kisha ndio waanzishe hayo masomo mapya. Ila wao walikurupuka wakaanzisha masomo ambayo hayana walimu. Hivyo kuzima moto ndio ikabidi waajiriwe wasio walimu kuokoa jahazi. Nakumbuka mtoto wa mjomba wangu akilalamika shuleni kwao wanatakiwa kusoma kompyuta na somo la biashara na hakuna walimu na hapo ilikuwa June. Sijui hata kama waliyasoma hayo masomo au la!
 
Back
Top Bottom