Soma vizuri ndipo utoe maoniHao uliowataja sio walimu wanafanya kazi za kufundisha au ni supporting staff? Kabla hujaipa kazi JF jipe kazi kwanza wewe.
Huko mashuleni kuna walinzi, wafagizi, wapishi, wahasibu nk hawa ni non-teaching staff. Isijekuwa walalamikaji ndio hilo kundi
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika
Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani
Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea
Jamii forum kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo
Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali
Tutafakari kama Taifa,
Nchi imejaa rushwa Balaa yaan kwenye ofisi za serikal watu wananjaa sana mtu anavyet feki bado anapewa ajira
Nadhani anazungumzia walimu walioajiriwa kwa masomo mapya kama vile business studies n.k. Hapa kuwa na walimu waliosomea somo hilo maana ndiyo limeanza kufundishwa mwaka 2024. Na kwakuwa hapa kuwa na walimu hao, ilipazimu walimu wa somo la commerce ndiyo wahusike.Hao uliowataja sio walimu wanafanya kazi za kufundisha au ni supporting staff? Kabla hujaipa kazi JF jipe kazi kwanza wewe.
Huko mashuleni kuna walinzi, wafagizi, wapishi, wahasibu nk hawa ni non-teaching staff. Isijekuwa walalamikaji ndio hilo kundi
Sijui kama kuna kupewa sasa hivi maana watu wanapitia ajira portal na kufanya interviews ukiona wana sifa ila hawajaajiriwa wamekandwa kwenye interviewsNimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika
Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani
Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea
Jamii forum kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo
Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali
Tutafakari kama Taifa,
kauli kama hizi ndio zinafanya kila mwaka takriban 75% ya wanafunzi wa shule za msingi wamepata alama sifuri kwenye somo la Hesabu.Ualimu sio professional mkuu MTU yeyote anaweza akafundisha
Sio kweli, ni ProfessionUalimu sio professional mkuu MTU yeyote anaweza akafundisha
Mkuu hii ni professional kama uliyosoma wewe chuo, waheshimu wakikusikiaUalimu sio professional mkuu MTU yeyote anaweza akafundisha
Waliosoma ualimu wa biashara wapo chini ya TSC kama waliajiriwa bila kuwa na education wanakuwa chini ya board ya biashara i think ila wanatakiwa kwenda kusoma either postgraduate diploma ya education ili waweze kukidhi vigezo wawe chini ya TSC na hii ilitokea baada yakukosekana kwa walimu wa biashara maana wengi walichkuliwa nadhani ndio waliochkuliwa kwa kiwango kikubwa kulingana na idadi ya waliokuwa wanachkua hayo masomoNimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika
Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani
Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata ajira ..lakini nashangaa kuona kuna watu wameajiriwa lakini hawana sifa ,jambo ilo linatakiwa kuchunguzwa kwa umakini usikute ulikua mpango maalumu kuwaingiza watu fulani fulani kwenye ajira wakiwa na taaluma zingine..lakini walimu wenyewe waliosomrlea masomo ya biashara wameachwa wapo mtaani ,wengine juzi juzi nimeona wamepewa ajira za mkataba za kujitolea
Jamii forum kama chombo huru tunaomba mchunguze jambo hilo
Tafuteni walimu waliosoma masomo ya biashara na uchumi lakini hawapewa hizo ajira lakini watu ambao sio walimu wamepewa ajira na sasa wanapaswa kwenda kusoma stashahada ya ualimu ..ili muundo uwakubali
Tutafakari kama Taifa,
Changamoto ni kuwa wapo walimu waliosoma masomo hayo ..lakini hawajapata ajira ..wasio na sifa za ualimu wamepata ajira ..ndio pachunguzweWaliosoma ualimu wa biashara wapo chini ya TSC kama waliajiriwa bila kuwa na education wanakuwa chini ya board ya biashara i think ila wanatakiwa kwenda kusoma either postgraduate diploma ya education ili waweze kukidhi vigezo wawe chini ya TSC na hii ilitokea baada yakukosekana kwa walimu wa biashara maana wengi walichkuliwa nadhani ndio waliochkuliwa kwa kiwango kikubwa kulingana na idadi ya waliokuwa wanachkua hayo masomo