BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria
Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti