BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Sep 18, 2023 #1 Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti
Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti
maneka JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 825 Reaction score 1,182 Sep 18, 2023 #2 Hatari sana, unyama huu umefanyika Tanzania?
Nurain JF-Expert Member Joined Apr 28, 2022 Posts 2,403 Reaction score 5,315 Sep 18, 2023 #3 Aisee moyo umeenda mbio balaa
Pythagoras JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 2,026 Reaction score 5,299 Sep 18, 2023 #4 Yaani hapo unaanza na aliyechukua hii video, teke la uso. Halaf huyo jamaa daaaah naua