baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga.
Kuna watu wengi kiufupi walikua hawajui habari za Maandamano kabisa zaidi ya watu ambao wanafuatilia mambo yanayoendelea mitandao sana. Ambao walikua ni wachache sana Lakin kitendo cha Viongozi mbali kuyaongelea tena wakubwa kwenye kampeni hiyo ndo promotion bure.
Kiongozi mkubwa unapokaa kwenye jukwaa na kuongelea sijui naskia kuna Maandamano hiyo tayari umefanya kazi kueneza habari aya ayo maandamano hata ambae alikua hajui tayari anajua anataka kujua chanzo ni nini?
Kifupi mmefanya Kazi ya kutangaza maandamano Acheni jikiteni kwenye hoja zenu kwa wananchi nyie ndo Mnajaza wananchi Ofu