Serikali imeamua kufanya promotion ya Maandamano Hamnaga Washauri huko?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga.

Kuna watu wengi kiufupi walikua hawajui habari za Maandamano kabisa zaidi ya watu ambao wanafuatilia mambo yanayoendelea mitandao sana. Ambao walikua ni wachache sana Lakin kitendo cha Viongozi mbali kuyaongelea tena wakubwa kwenye kampeni hiyo ndo promotion bure.

Kiongozi mkubwa unapokaa kwenye jukwaa na kuongelea sijui naskia kuna Maandamano hiyo tayari umefanya kazi kueneza habari aya ayo maandamano hata ambae alikua hajui tayari anajua anataka kujua chanzo ni nini?

Kifupi mmefanya Kazi ya kutangaza maandamano Acheni jikiteni kwenye hoja zenu kwa wananchi nyie ndo Mnajaza wananchi Ofu
 
Na hivyo vitisho vya polisi na jeshi la wananchi vitasababisha wote tushiriki maandamano aina ya yale ya Askofu Bagonza.
 
Na hivyo vitisho vya polisi na jeshi la wananchi vitasababisha wote tushiriki maandamano aina ya yale ya Askofu Bagonza.
nashangaa sana Serikali iko busy na maandamano kuliko sera wananchi wanaoenda kwenye mikutano waulize sera za wagombea kama watakujibu
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua

Share na mwenzako
 
Madamant yapo na tumewambia wenye maduka na wenye masoko tarhe 29 wakifungua biashara zao wakijifanya haya mambo hayawahusu wasilaumu mtu bora wafunge wakae majumbani siyo kujifanya wanaendelea na mambo yao kama vile hakuna jambo
 
Think tank mkuu kama wewe ccm hawezi kukuona ,machawa ndo yamechukua nafasi kwa sasa
 
Binafsi siku zote nasema sio kila mwanaccm ni mbaya ,hapana ,kuna watu wazuri tu na tena wenye uwezo wa kupambanua mambo tena kwa kina ,ila ndo hivyo .

Ccm ni chama tu kama vilivyo vyama vingine ila wachache ndo wamekiaribu .

Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…