Vipi na yule aliyesema hajambo na anawasalimiaWaziri Mwambe asiishie kutumbuliwa uwaziri tu avuliwe mpaka ubunge. Nchi haiwezi kuongozwa na mtu muongo na tapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi na yule aliyesema hajambo na anawasalimiaWaziri Mwambe asiishie kutumbuliwa uwaziri tu avuliwe mpaka ubunge. Nchi haiwezi kuongozwa na mtu muongo na tapeli
Ndo kwetu tutafanyaje Sasa au tutahamia wapiHata kama ni mapunda lakini hii mzigo inabebwa na semi jamaa I!!!!!
Hatari snWajipimie tu kwa urefu wa kamba yao
Unajua lakini umuhimu wa bandari kwa mataifa makubwa? Unajua kwa nini Putin aliingilia kati vita ya wenyewe kwa wenyewe Syria? Alitaka kupewa bandari ya Latakia Syria. Unajua kwa nini Marekani ilikuwa inawapa Pakistan mabilioni ya dola? Kwa sababu Pakistan walihurusu Marekani kutumia bandari yao kupeleka vifaa vya majeshi yao Afghanistan. Bandari ni kitu muhimu sana kivita.Story za kijiweni
Ukijibiwa hilo swali la mwisho naomba unijulisheGazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take
Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo?
View attachment 2084598
Mtajuta sanaUkiangalia jinsi ambavyo umeme umekua unapatikana kwa shida, maji shida kulinganisha na enzi Magufuli akiwa HAI then uje na hi ya Bagamoyo, chochote itakacho kuja nacho serikali, kupitia hivo vitu kadhaa ikiwepo na upandaji wa bei ya vitu hasa vya UJENZI, Magufuli ataendelea kuvuna point 3; in fact hata sisi ambao tulikua tunamkosoa sana, tumeanza kujiona kama tulikua tunamkosea; sijui wanakwama wapi sasa hivi
Tena wanatufanya sisi mazuzu,mwezi iliyopita tuliambiwa hakuna Mkataba wowote ulisainiwa Bali yalikuwa mazungumzo ya awali,WATANZANIA tutafika mbinguni ama jehanamu tumechoka Sana [emoji31]
[emoji1787][emoji1787]Mkwere amebonyeza button ya REWIND huko magogoni mkanda unarudi nyuma kwa speed!
View attachment 2084679
Taarifa za kuugua, kulazwa ama kufariki kwa Rais ni siri sana kwa sababu za usalama.Vipi na yule aliyesema hajambo na anawasalimia
yaani tutaamshwa kwa kumwagiwa maji ya baridi...kuondoa uchovu😀😀😀😀😀WATANZANIA tutafika mbinguni ama jehanamu tumechoka Sana [emoji31]
Marekani haiwezi kukubali China kupata bandari ya bahari ya hindi ili waweke manowari zao Bagamoyo. Itapiga vita mpaka basi.
Hii nchi ni ngumu.Huku vijana waambiwe wasichague kazi, huku waziri awatake chombo cha habari kuomba msamaha, huku sakata la bandari ya bagamoyo.