Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, hujui na hujui kuwa hujuiUmesoma au umepaniki tu? Halafu sio kila anayekuja tofauti na unachokijua anakuwa mlaji au CCM.
Jifunze kukubali kukosolewa na ni vema kutokuwa mjuaji
Siku zote una lugha za kuudhi sana nakutukana live mjinga mamaako niliyemtoboa kati ukiwa umelala pembeni yake nawe nikakupa kifinyo Cha MK ndio maana unalugha za kishenzi.Acha ujinga
Sasa umehama kwenye hoja unakuja na statement za kijinga mnaonyesha shule hakuna na mna maisha magumu sana.Pole, hujui na hujui kuwa hujui
Kwa akili ya CCM labdaTaarifa za kuugua, kulazwa ama kufariki kwa Rais ni siri sana kwa sababu za usalama.
Kabudi si ndiye masalia ya Legendary Pombe alafu ndiyo BiM amempa nafasi pembeni ya ofisi yake kufuatilia mikataba, so let us watch and wait!.Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take: Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo
Usicheze na MwambeGazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take: Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo?
View attachment 2084598
WACHE watafune sababu watz ni wajinga wanaendekeza mambo ya kijinga badala ya kukemea maouvu wao wanayafurahia.Ni fursa kwao
Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take: Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo?
View attachment 2084598
Jikite kwenye hojaKumekuwa na tabia ya watu siku hizi kila kiti eti my take, my take. Sasa kama hii ni your take kwa nini unauliza suali badala ya kueleza hiyo "take" yako? Ukiwa unauliza suali, hii ina maanisha kuwa hujafahamu jambo!
Yeye siye mkuu, safari bado hata robo.Kumbe Samia siyo masalia ya Pombe?
Tutapigwa vita sisi siyo China.China katengeneza kisiwa kikubwa na Mmarekani hakufanya kitu
China anamdai US madeni kibao hebu usimchonganishe akaanza kumkwepa [emoji23][emoji23]
SSH = JKHuyu mama tangu aseme wale kwa urefu wa kamba zao simwamini tena, labda kama alikuwa anamaanisha kitu kingine na sio ninachofikiria
Ngoma nagwa...
National cake italiwa sana miaka hiii....
Nasisi tusubiri zamu yetu ikifika tule... Hamna tena uzalendo hii nchi