Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nao ni upotoshaji mwingine! Kwanini watu mnashindwa kuzungumzia Hoja husika badala yake mnaingiza vitu vingine??Marekani haiwezi kukubali China kupata bandari ya bahari ya hindi ili waweke manowari zao Bagamoyo. Itapiga vita mpaka basi.
Kiukweli amtu fanya tuhifie sana usalama wa nchi yetu!Huyu mama tangu aseme wale kwa urefu wa kamba zao simwamini tena, labda kama alikuwa anamaanisha kitu kingine na sio ninachofikiria
Ndugu yangu kwani kuweka jiwe la msingi maana yake ndio mkataba? Ina maana panapowekwa jiwe la msingi hata kama mkataba haupo maana yake ndio umeshakuwa mkataba?
Uwekaji jiwe la msingi haimaanishi ndio mkataba. Jiwe la msingi ni utaratibu tu ambao nauona mostly kwenye miradi ya Tanzania na huwa kasherehe fulani ikiwa ndio utamaduni wa kuwashirikisha wananchi na mwekezaji au aliyetoa msaada fulani some kwamba Sasa implementation ipo on the track Ila haimaanishi chochote zaidi.
Mbona Kikwete aliweka jiwe la msingi pale TAZARA FLYOVER na bado Magufuli akaja kuweka jiwe la msingi na kupaita Mfugale???
Kuna kitu huwa wengi mnachanganya sana Kuna MEMORANDUM OF UNDERSTANDING na Kuna AGREEMENT.
Kimsingi yote ni makubaliano, lakini mmoja huwa unatangulia mwingine sababu MOU haina sanctity (haya mengine utagoogle maana ni shule inayojitegemea) wakati Agreement yenyewe huwa na sanctity to contract. MOU huwa ni makubaliano ya awali ambayo yanaonyesha nia tu wakati contract inakuwa sasa ni agreed terms ambazo zinakuwa na sanctity.
Sasa labda nikufafanulie kidogo, pale walipoona kuna nia kati ya pande zote ya kujenga Bandari ndio huwa inaandaliwa MOU hii haina ishu maana hampelekani hata Mahakamani kwa kupitia MOU in short huwa tunaita a mere GENTLEMAN AGREEMENT. It is good as a handshake tu.
Sasa Mkataba ndio hufuata, so kusaini MOU haimaanishi ndio mmesaini kuanza mradi hapo mnakuwa mmekubaliana kufanya ushirikiano fulani sasa mnaweka hii NADHIRI kwenye makaratasi ili hata wanapokuja wengine wataanza na hiyo NADHIRI.
Sasa ndipo hufuata stage ya negotiation mnakaa mezani kujadili nani atoe nini, gharama, muundo wa mradi, nk.
Ni vema kuwa mnabishana kwa kuelewa sio ushindani na ndio maana wataalamu hukaa kimya maana unakuta mtu anaelezea jambo ingali hajawahi hata kujua utaratibu wa kiserikali ulivyo strict na huwezi kutemper maana unajulikana mapema mno sema Kuna figisu za wanasiasa Wala sio watendaji.
Unakuta mradi kama huu unagubikwa na maneno mengi na figisu simply fulani hajala hela na huo ndio ukweli.
I leave this matter to you. Ukiona naongea unaelewa ni vema.
Msikilize huyu utaelewaHuu nao ni upotoshaji mwingine! Kwanini watu mnashindwa kuzungumzia Hoja husika badala yake mnaingiza vitu vingine??
Haya ukiombwa ushahidi kwalo utatoa!?
iyo ndio boys to men jaman tusishangaeGazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take: Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo?
View attachment 2084598
Ipo Djibouti,Marekani haiwezi kukubali China kupata bandari ya bahari ya hindi ili waweke manowari zao Bagamoyo. Itapiga vita mpaka basi.
Acha kucheka kama malaya wa kimboka, this is a serious matter sio unachekacheka tu. Soma post uelimike.Hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa hiyo unasema Jk na yule kiongozi wa china waliweka jiwe la msingi kuzindua uwekaji wa mkataba baada ya miaka mia ijayo? Kwa hiyo lile jiwe la msingi ilikuwa ni sherehe ya kumtoa mwali huko bagamoyo? Hahahahahah
Wanajua wapi?Ipo Djibouti,
Ipo kenya,
HiiUnajua lakini umuhimu wa bandari kwa mataifa makubwa? Unajua kwa nini Putin aliingilia kati vita ya wenyewe kwa wenyewe Syria? Alitaka kupewa bandari ya Latakia Syria. Unajua kwa nini Marekani ilikuwa inawapa Pakistan mabilioni ya dola? Kwa sababu Pakistan walihurusu Marekani kutumia bandari yao kupeleka vifaa vya majeshi yao Afghanistan. Bandari ni kitu muhimu sana kivita.
Umeongea vema, tatizo kuna watu hata akija Yesu akasema hivi, watasema mbona fulani hajasema hivyo...Kwani mkataba lazima uwe signed? Huwezi kuwa na proposed contract?
Umefuatilia lakini yaliyotokea Djibouti?Ipo Djibouti,
Ipo kenya,
Kuna jambo unataka kupotosha kwa makusudi au kutofahamu kulingana na huyo mwandishi alivyoandika hiyo heading ilimradi hatujasoma maudhui yanasemaje.
Waziri aliposema haijawahi kuwepo mkataba ni kweli kwa kuwa ili isemekane Kuna mkataba basi lazima uwe na zile sifa za kuwa mkataba ikiwemo kusainiwa na pande zote .
Ukiangalia hayo ndipo unajiuliza kwani kilikuwa na mkataba kwenye Bagamoyo port project? Jibu ni HAPANA sababu hakukuwepo utiaji wa saini yale makubaliano na hayakufikia tamati ndipo yalikatishwa kuendelea kutokana na sababu ambazo hata Waziri alishindwa kuelewa maana mambo yaliyokuja kusemwa hayakuwepo hata kwenye rasimu (draft) .
Sasa kwa sababu ilitokea sintofahamu na tayari muda umepita ni utaratibu wa kawaida kabisa kuupitia upya huo mkataba kabla ya kusaini au kuendelea na majadiliano ili kubaini kama kuna lolote lipo kinyume na yaliyotarajiwa .
Hata ingekuwa wewe ukiipewa huo mkataba utasaini bila hata kufanya mapitio? (Vetting).
Mikataba yote ya serikali inayozidi cost ya 600 million hufanyiwa vetting kwa Attorney General na wakisharidhika ndipo hurudisha either mrekebishe au wakiona upo sawa basi wanashauri muendelee na taratibu nyingine.
So to me naona ni Jambo la kawaida na hakuna haja ya kuwa na wasiwasi au speculation zenye kuleta taharuki zisizo na msingi.
Hawa wakula kila mtu kwa urefu wa kamba yake wanataka kamba refu ya kula hapo. La kutia uchungu hawajali maslahi ya taifa ila kujipatia kamba refu waweze kula. Yaani haijawahi kutokea kiongozi kujali ulaji wa vigogo kama samia. 🤔🤔Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take: Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo?
View attachment 2084598
Ndiyo maana CCM haitaki mtu apate elimu ya maanaWACHE watafune sababu watz ni wajinga wanaendekeza mambo ya kijinga badala ya kukemea maouvu wao wanayafurahia.
Huna akili kabisaUmeongea vema, tatizo kuna watu hata akija Yesu akasema hivi, watasema mbona fulani hajasema hivyo...
Kimsingi kilichopo ndo hicho ulichosema... and technically, sio MKATABA bali inaitwa Framework Agreement. And in fact, it's just INITIAL Framework Agreement... hiyo ndiyo aliiacha JK na Serikali yake!
Kwenye projects za aina hii, Investor huwa ana-prose anataka nini na nini, kisha upande wa pili, na kwa muktadha huu ni serikali, ndipo wanakaa na kupitia kipengele kimoja baada ya kingine! Hapa ndipo unapokuja msingi wa INITIAL Agreement kwa sababu serikali ikishapitia hiyo Initial Agreement, nayo inaweza ku-propose mambo yake na kurudisha kwa Investor!
Wakishakubaliana na hizo proposals ndipo mkataba unakuwa structured and finally kuwa signed!
Hilo suala watu tumeliongea sana hapa lakini kwavile walishazoea kuaminishwa uongo, ndo hivyo tena!! Ajabu yenyewe, wakawa wanambishia hadi waziri wa dhamana bila kufahamu waziri ndie ana-deal zaidi na haya mambo kuliko Rais ambae kimsingi yeye upelekewa tu taarifa!
Hapa watu nishawauliza mara kadhaa kama kweli kulikuwa na mkataba uliowahi kusainiwa, sasa ni mkataba wa aina gani huo unaoweza kuvunjwa kirahisi rahisi tu na kusiwe na fight back... hakuna aliyewahi kunijibu hili swali!!