Serikali imeanza kuhakiki mkataba wa bandari ya Bagamoyo

Ukiangalia jinsi ambavyo umeme umekua unapatikana kwa shida, maji shida kulinganisha na enzi Magufuli akiwa HAI then uje na hi ya Bagamoyo, chochote itakacho kuja nacho serikali, kupitia hivo vitu kadhaa ikiwepo na upandaji wa bei ya vitu hasa vya UJENZI, Magufuli ataendelea kuvuna point 3; in fact hata sisi ambao tulikua tunamkosoa sana, tumeanza kujiona kama tulikua tunamkosea; sijui wanakwama wapi sasa hivi
 
Story za kijiweni
Unajua lakini umuhimu wa bandari kwa mataifa makubwa? Unajua kwa nini Putin aliingilia kati vita ya wenyewe kwa wenyewe Syria? Alitaka kupewa bandari ya Latakia Syria. Unajua kwa nini Marekani ilikuwa inawapa Pakistan mabilioni ya dola? Kwa sababu Pakistan walihurusu Marekani kutumia bandari yao kupeleka vifaa vya majeshi yao Afghanistan. Bandari ni kitu muhimu sana kivita.
 
Ukijibiwa hilo swali la mwisho naomba unijulishe
 
Mtajuta sana
 
Tena wanatufanya sisi mazuzu,mwezi iliyopita tuliambiwa hakuna Mkataba wowote ulisainiwa Bali yalikuwa mazungumzo ya awali,
Sasa Mkataba gani wanaouhakiki Tena.
Mwambe kwenye ubora wake
 
Marekani haiwezi kukubali China kupata bandari ya bahari ya hindi ili waweke manowari zao Bagamoyo. Itapiga vita mpaka basi.

China katengeneza kisiwa kikubwa na Mmarekani hakufanya kitu
China anamdai US madeni kibao hebu usimchonganishe akaanza kumkwepa [emoji23][emoji23]
 
Wanahakiki wenyewe au na sisi wananchi tunapata nakala : Kama waliweza kudanganya then kwanini wasidanganye tena now ?

Na hao wahikikishaji wamebadilika ? Watu si ni walewale
 
Sasa Baba wa Mikataba amemchomoa na Baba wa Miaktaba katika mikataba yote iliyohusu ujenzi bingea wa Negotiate alikuwa Engineer Chamuriho ambae nae alishamvua uwaziri sasa sijui anawategemea wakina nan!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…