Watanzania bhana.
Kuna watu wanazani hii nchi wao wanaumuhimu kuliko wengine, yani kama kuna jambo linahusu 1% ya watanzania linapaswa kupuuzwa kwa sababu wao haliwahusu.
Hizo combi sio za lazima kusoma, na kila shule hua inachagua combination za kua nazo kulingana na mahitaji ya sehemu husika.
Kuna shida gani serikali, kumsomesha abdalah islamic knowledge, kama ni kitu ambacho yeye kakipenda? Au kuna shida gani mtamzania Petro kusomea Divinity katika shule za serikali kama ni kweli anataka kuja kua gwajima wa kesho.
Kama hii ndo tafsiri ya Udini, basi tuondoe vipindi vya kidini kwenye mitaala ya shule zetu.
Binafsi sio muumini wa mashehe/Wala mapadri, ila hakuna kibaya chochote hapo serikali imefanya kuleta hizo combinations, kama kuna market zitakuepo, kama hakuna market hazitakuepo.
Sisi nakumbuka o level tulikua tunasoma Cookery [emoji16][emoji16], sijui hata ilitusaidia nn ila ndo tulisoma hivyo.