Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Tumeanza udini taratibu
Tutafikia walipo nigeria soon vitaanza vikosi vya uhaid
Manake
 
View attachment 2941239
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?

Serkali haipaswi kuingilia katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
Mkiongozwa na muislam sijui kwanini lazima aweke mambo tmya dini mbele..

Baada mtasikia kila ofisi iwe na msikiiti,

Na baadae mtasikia nchi iitwe, Tanzania islamic state republic..

Yamerudi ya hayati Ali Mwinyi, na JK
 
Katiba yenyewe inakataza kabisa serikali kudimamia mambo ya dini
20240322_060234.jpg
 
Mkiongozwa na muislam sijui kwanini lazima aweke mambo tmya dini mbele..

Baada mtasikia kila ofisi iwe na msikiiti,

Na baadae mtasikia nchi iitwe, Tanzania islamic state republic..

Yamerudi ya hayati Ali Mwinyi, na JK
Kuna tatizo mahali fulani.
 
Hata soko la wanaume kuuza tako lipo kwani wewe unadhani mashoga hayana soko basi serikali iweke somo la kufundisha ushoga mashuleni kwa sababu kuna soko au somo la kuvuta bangi na kuuza bangi ..... waisiharamu hamna akili kabisa
Kwan ilo lina athari gan Kwa jamii kama litafundishwa na serikali au taasisi usika maana kitu ni kilekile hakuna anaye lazimishwa kusoma, kama kusoma utasoma kwa uchaguzi wako mwenyewe hakuna,sasa kama unazan serikal haitambui dini utakuwa unajidanganya, ndoa inayofungwa na mchungaji ni halali kisheria hawezi akafunga yeyote tu,vikao vya BMK(Maendeleo) kwenye vijiji na kata viongozi wa dini wanaitwa,mpaka maraisi wanapoingia madarakani wanaapa kwa dini zao, Leo utaweka dini na ushoga kwenye kapu moja
 
MKIRU mnarudi kwa njia nyingine.
 
Hiyo ndoa unafunga kanisani cheti kinatoka RITA, ndoa ikizingua unaenda mahakamani(serekalini) serekali na dini ni ndugu moya kama ulikuwa ujui
Ndio maana serekali pamoja na roho yake ngumu ila hata Kodi hachukui kutoka Kwa ndugu yake wa baba mmoya anaeitwa dini
 
Na kama haichukui Kodi maana yake na yenyewe inatoa sadaka
 
Na

Nafikir hapa ww, na waleta threat ndio hamuelewi. Upeo wenu ni mdogo sana wa kuelewa. Mleta thread, hoja yake, anasema kwa kuruhusu islamic knowledge na divinity kwenye Combination, ni kueneza dini. Huo ni uelewa mdogo na ufinyu wa mawazo.Kwanza huyu mbumbu lazima haelewe kuwa masomo hayo yamekuwa yakisomwa secondary muda mrefu Ila hayakuwa kwenye combination na hata kwenye admission za vyuo. Kwa sasa yamewekwa, kwenye combination na admission za vyuo. Je, ndio kueneza udini?? Huo ni ufinyu wa akili na mawazo. Hoja yangu ya msingi,nilisema status za admission vyuoni ni masomo mawili tu yawe na minimum point nne.mfano umesoma Mfano:Combination mpya hiz:economic, business studies na islamic knowledge. Chuo kikuu utaenda na masomo mawili either economic na business studies au business studies na islamic knowledge au economic na islamic knowledge. Je, udini umeenezwa wapi??? Ukienda na economic na islamic knowledge waweza soma religions course. Udini ni upi sasa? Au ukisoma divinity, Kiswahi na English. Utaweza kwenda na kiswahi na English, au divinity na kiswahi., au English na divinity. Udini umeenezwa wapi? Lowasa (2015) , elimu,! elimu,! elimu!
Thinking hapa ni tatizo, katiba ilishakiukwa tangu kuanzishwa kwake. Katiba imekataza Mambo ya dini kuingizwa kwenye mamlaka ya serikali, yaani kugharimiwa na serikali. Kuanzisha taasusi ya kidini inayogharimiwa na serikali, unakuwa tayari umeingiza mambo ya dini kwenye serikali. Vipi sisi wa Hinduism nasisi tuingizwe humo?
 
View attachment 2941239
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?

Serkali haipaswi kuingilia katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
Wala musihofu,Mungu akiwa upande wetu hawatuwezi, si munajua hawa jamaa wako nyuma kwa kilakitu? Hata wapandishwe watashuka tu.
 
Kwan ilo lina athari gan Kwa jamii kama litafundishwa na serikali au taasisi usika maana kitu ni kilekile hakuna anaye lazimishwa kusoma, kama kusoma utasoma kwa uchaguzi wako mwenyewe hakuna,sasa kama unazan serikal haitambui dini utakuwa unajidanganya, ndoa inayofungwa na mchungaji ni halali kisheria hawezi akafunga yeyote tu,vikao vya BMK(Maendeleo) kwenye vijiji na kata viongozi wa dini wanaitwa,mpaka maraisi wanapoingia madarakani wanaapa kwa dini zao, Leo utaweka dini na ushoga kwenye kapu moja
Mgawanyiko kwa wanafunzi .. siku mwanafunzi wa kiume atamshika tako wakike kisha watu wanatazama kwanza dini haa mkristo kamshika tako binti wa kiislamu zinajengeka tabaka badala ya kuangalia tatizo na kutatua tatizo kama tatizo itasemwa kuwa mkristo kamdhalilisha wanafunzi wa kiislamu..pia kumbuka hijabu ziliingia vipi kwenye shule za serikali je manafunzi wa kikristo wakifanya pasaka ya kuchinja kitimoto na kula kwenye madarasa ya shule za serikali itavutia
 
Kwani kuna mtu kalazimishwa kuyasoma hayo masomo ya dini?
 
Wewe ukiambiwa watoto wako wakafundishwe uislamu kanisani utakubali au wakafundishwe uislamu baa au gest kila kitu kina sehemu yake stahiki
 
Back
Top Bottom