Tatizo labda ni hizo lugha za nn? Mfano Arabs, itatusaidia nn? Kwann tusisome mining
Sio kweli kuchukua mfano bachelor of theology vyuo vyetu vingi vinatoa hiyo degree muda mrefu tu shida wengi walikuwa wanashindwa kuingia chuo kikuu kuchukua hizo degree sababu A level kulikuwa hakuna somo la Divinity
Vyuo vikuu vingi vya Kikristo vinahitaji aliyesoma Divinity A leve kujiunga navyo vya ndani na nje ya nchi