Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkenda mpuuzi sana. Halafu wakishasoma hayo masomo wanaenda kuwa nani huko mitaani????Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Safari ni ndefu kweli. Kwamba elimu ya nchi haimhusu kila mtu????Hyo masomo umewekewa wewe ? Mwanaume kufuatulia mambo yasiyokuhus ni red flag.
Kama mambo hayakuhusu kaa kimya ,fuata yako..
Hizo taasisi za kidini si zina shule zake zina vyuo vyake humo hao wanaoitaka hiyo michepuo waende wakaisome huko siyo kuichanganya kwenye government.Sasa kama soko la iko kinachofundishwa lipo kunashida gan
Remnants wa MKIRU utawajua tu!Safari ni ndefu kweli. Kwamba elimu ya nchi haimhusu kila mtu????
Hii thread inaenda kuwagawa watu hapa jukwaani sasa hivi !!Siyo kweli, mayai ya MKIRU(Mkuranga, Kibiti, Rufiji) yalitagwa wakati wake.
Mwendazake ndiye aliyasafisha.
Watu tunasahau haraka.
umelazimishwa kusom hayo masomo? au shoboSafari ni ndefu kweli. Kwamba elimu ya nchi haimhusu kila mtu????
Habari Mkuu!Na
Nafikir hapa ww, na waleta threat ndio hamuelewi. Upeo wenu ni mdogo sana wa kuelewa. Mleta thread, hoja yake, anasema kwa kuruhusu islamic knowledge na divinity kwenye Combination, ni kueneza dini. Huo ni uelewa mdogo na ufinyu wa mawazo.Kwanza huyu mbumbu lazima haelewe kuwa masomo hayo yamekuwa yakisomwa secondary muda mrefu Ila hayakuwa kwenye combination na hata kwenye admission za vyuo. Kwa sasa yamewekwa, kwenye combination na admission za vyuo. Je, ndio kueneza udini?? Huo ni ufinyu wa akili na mawazo. Hoja yangu ya msingi,nilisema status za admission vyuoni ni masomo mawili tu yawe na minimum point nne.mfano umesoma Mfano:Combination mpya hiz:economic, business studies na islamic knowledge. Chuo kikuu utaenda na masomo mawili either economic na business studies au business studies na islamic knowledge au economic na islamic knowledge. Je, udini umeenezwa wapi??? Ukienda na economic na islamic knowledge waweza soma religions course. Udini ni upi sasa? Au ukisoma divinity, Kiswahi na English. Utaweza kwenda na kiswahi na English, au divinity na kiswahi., au English na divinity. Udini umeenezwa wapi? Lowasa (2015) , elimu,! elimu,! elimu!
Una watoto? Ndugu jamaa na marafiki?umelazimishwa kusom hayo masomo? au shobo
Tahsusi kibao kasome , nyingine hazikuhusu laiti kama ungekuwa na akili ungetaka tahsusi fulani iongezwe .
Swali halina mashiko! Tahasusi za za sayansi zipo , sanaa zipo , we tatizo lako liko wapi?Una watoto? Ndugu jamaa na marafiki?
Asante mkuu kwa kuliweka wazi.Habari Mkuu!
Nakubaliana na wewe kwamba Divinity na Islamic Religion zimekuwa zikisomwa Kwa muda mrefu sana katika Secondary na hata Advance..
Serkali haikuwahi kujihusisha na Elimu Hizo hapo kabla!
Sijui kama Unafahamu hilo?
Hakukuwahi kuwepo kwa Walimu Wa Dini waliokuwa wanalipwa na Serikali!.
Masomo hayo yalikuwa yakifanyika kama masomo ya Ziada tu..
Kitendo cha Kuanzisha Tahsusi Za masomo hayo Kinailazimisha Serkali iajiri waalimu wa Masomo hayo kitu ambacho ni kinyume Cha katiba ya Nchi ibara ya 19..
Ambayo imeitaka serkali kutohusika na Uenezwaji au shughuli za Kidini Nchini..
Sijui kama umenielewa?
Machafuko yanakuja dini moja kujiona wanamiliki kila kitu na wengine hawana nafasi. Chemistry uliosoma form umetengeneza acid gani? Si umejibia mtihani tu?Kwa kuona mbali, kutaanza kuwa na ajira za kidini dini kutokana na masomo ya kidini.
Tunaanza kutaga mayai ya machafuko huko mbele ya safari.
Hili lipingwe kwa nguvu zote.
Swala linaloongelewa ni kuchanganya Serkali na Imani za kidini mkuu inapswa Vingine Uvielewe..
Hupaswi kukaza Shingo..
Serkali haipaswi Kuongeza nguvu katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
View attachment 2940739
Elewa mada, ni Kiislamu AND Divinity, havina nafasi kwenye sera rasmi za elimu kiserikali.Tatizo limeanza kwa mtoa masa mwenyewe;
kiislam vs Divinity...............kuna maana kubwa hapo ya kiubaguzi (kwa mwenye akili)
Umejuaje kama nipo upande wa Uislamu au Ukristo?Vita labda muanzishe ninyi kama kawaida yenu, ila Uislamu haujatufundisha hivyo
Pia mkumbushe kwamba Elimu ya Dini ya kiislamu (Islamic knowledge) ni soma na wala sio Ubaguzi..Elewa mada, ni Kiislamu AND Divinity, havina nafasi kwenye sera rasmi za elimu kiserikali.
Hizo wanaachiwa wenyewe wenye dini zao.