We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.
U
Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic. Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.