Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.

U

Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic. Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
Hofu ya Mungu inatokana na utashi wa mtu mwenyewe. Hata asome dini vipi kama hana utashi haidaidii zaidi kuleta ufa kwa Taifa huko mbeleni.
Jiulize ufisadi huu mkubwa unaofanyika mpaka NHIF na PSSF zinasua sua wanaofanya hayo hawakusoma dini ?
Utakuta ni Waislamu/Wakristo wazuri kabisa. Kila Ijumaa/Jumamosi/Jumapili wapo msikitini au kanisani. Njoo kwenye matendo yao sasa.
 
Sijui kama ni mimi umekusudia kunijibu
Sijakujibu wewe Nimejibu Na kuquote Comment iliyokuwa Imenijibu..

Maana Huwa Siattaq Personality so sijajua kama ni wewe ndiyo ulinijibu..

But if ni wewe uliyeQuote na kunijibu, yes, Nimekujibu!
 
Huyo atakua muislamu jina, vipi Muislamu anaejitambua aowe au aolewe na asiekua muislamu!
Ni wengi wenye mahusiano (rasmi na yasiyo rasmi) na pia watoto.
Habari za kujitambua tuwaachie wenyewe, ila tutumie hiyo kama uthibitisho wa ushirikiano, umoja na upendo miongoni mwa raia wa Tanzania.
 
Na

Nafikir hapa ww, na waleta threat ndio hamuelewi. Upeo wenu ni mdogo sana wa kuelewa. Mleta thread, hoja yake, anasema kwa kuruhusu islamic knowledge na divinity kwenye Combination, ni kueneza dini. Huo ni uelewa mdogo na ufinyu wa mawazo.Kwanza huyu mbumbu lazima haelewe kuwa masomo hayo yamekuwa yakisomwa secondary muda mrefu Ila hayakuwa kwenye combination na hata kwenye admission za vyuo. Kwa sasa yamewekwa, kwenye combination na admission za vyuo. Je, ndio kueneza udini?? Huo ni ufinyu wa akili na mawazo. Hoja yangu ya msingi,nilisema status za admission vyuoni ni masomo mawili tu yawe na minimum point nne.mfano umesoma Mfano:Combination mpya hiz:economic, business studies na islamic knowledge. Chuo kikuu utaenda na masomo mawili either economic na business studies au business studies na islamic knowledge au economic na islamic knowledge. Je, udini umeenezwa wapi??? Ukienda na economic na islamic knowledge waweza soma religions course. Udini ni upi sasa? Au ukisoma divinity, Kiswahi na English. Utaweza kwenda na kiswahi na English, au divinity na kiswahi., au English na divinity. Udini umeenezwa wapi? Lowasa (2015) , elimu,! elimu,! elimu!
Kama lengo ndio hilo inakuaje Divinity haijawekwa kwenye tahsusi za masomo ya biashara ? Isipokua ipo Islamic knowledge pekee ?
Wanamaanisha kuwa mwanafunzi ambaye ni Mkristu hapaswi kusoma elimu ya dini yake pamoja na masomo ya biashara ?
Hapa utetezi ni mgumu sana. Udini umetumika hapa.
 
Weka aya hapa inayomruhusu muislamu kuolewa ama kuowa asiekua muisilamu!
Al-Ma'idah aya ya 5

ٱلْيَوْمَ أُحِلَّ لَكُمُ ٱلطَّيِّبَٰتُ ۖ وَطَعَامُ ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ ٱلْكِتَٰبَ حِلٌّۭ لَّكُمْ وَطَعَامُكُمْ حِلٌّۭ لَّهُمْ ۖ وَٱلْمُحْصَنَٰتُ مِنَ ٱلْمُؤْمِنَٰتِ وَٱلْمُحْصَنَٰتُ مِنَ ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ ٱلْكِتَٰبَ مِن قَبْلِكُمْ إِذَآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَٰفِحِينَ وَلَا مُتَّخِذِىٓ أَخْدَانٍۢ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِٱلْإِيمَٰنِ فَقَدْ حَبِطَ عَمَلُهُۥ وَهُوَ فِى ٱلْءَاخِرَةِ مِنَ ٱلْخَٰسِرِينَ

Au kwa Kiswahili
Screenshot_20240321_175915_Quran Swahili.jpg
 
Sasa kama soko la iko kinachofundishwa lipo kunashida gan
Hata soko la wanaume kuuza tako lipo kwani wewe unadhani mashoga hayana soko basi serikali iweke somo la kufundisha ushoga mashuleni kwa sababu kuna soko au somo la kuvuta bangi na kuuza bangi ..... waisiharamu hamna akili kabisa
 
We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.

U

Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic. Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
Kule Iran , Pakistan, saudia Afghanistan ndo masomi hayo yafundishwe maana wameendelea sana kwa imani hiyo
Dada zao huko wako vizuri
 
Kama lengo ndio hilo inakuaje Divinity haijawekwa kwenye tahsusi za masomo ya biashara ? Isipokua ipo Islamic knowledge pekee ?
Wanamaanisha kuwa mwanafunzi ambaye ni Mkristu hapaswi kusoma elimu ya dini yake pamoja na masomo ya biashara ?
Hapa utetezi ni mgumu sana. Udini umetumika hapa.
Kwani sensa inanyesha kati ya wakristo na waislam nchi hii wapi wengi wameajiliwa na wapi wengi wafanya biashara?
 
Huu ni ujinga mkuu ccm inapoipeleka hii nchi wanajua wenyewe
 
Huu ni ujinga mkuu ccm inapoipeleka hii nchi wanajua wenyewe
Uzuri huchagui kutokana na dini yako hivyo tunakoelekea tutapata wanaphilosofa wazuri maana utakutana na mtu ni shehe pia mchungaji hivyo akikuambia dini ni uongo na akatoa hoja huchomoki maana huna pa kujificha hata huko mbele mabadiliko yalianza hivi
 
Kwani sensa inanyesha kati ya wakristo na waislam nchi hii wapi wengi wameajiliwa na wapi wengi wafanya biashara?
Kwenye sensa kumbe palikua na swali la dini ? Ndio nasikia kwako.
 
CCM huwa hawashindi kupitia sanduku la kura, wanashinda kimafia.
Mama hata apate 2% na Lissu apate 98% ya kura, mshindi ni mama.
Kabisa. Tusitegemee sanduku la kura
 
  • Thanks
Reactions: K11
Na

Nafikir hapa ww, na waleta threat ndio hamuelewi. Upeo wenu ni mdogo sana wa kuelewa. Mleta thread, hoja yake, anasema kwa kuruhusu islamic knowledge na divinity kwenye Combination, ni kueneza dini. Huo ni uelewa mdogo na ufinyu wa mawazo.Kwanza huyu mbumbu lazima haelewe kuwa masomo hayo yamekuwa yakisomwa secondary muda mrefu Ila hayakuwa kwenye combination na hata kwenye admission za vyuo. Kwa sasa yamewekwa, kwenye combination na admission za vyuo. Je, ndio kueneza udini?? Huo ni ufinyu wa akili na mawazo. Hoja yangu ya msingi,nilisema status za admission vyuoni ni masomo mawili tu yawe na minimum point nne.mfano umesoma Mfano:Combination mpya hiz:economic, business studies na islamic knowledge. Chuo kikuu utaenda na masomo mawili either economic na business studies au business studies na islamic knowledge au economic na islamic knowledge. Je, udini umeenezwa wapi??? Ukienda na economic na islamic knowledge waweza soma religions course. Udini ni upi sasa? Au ukisoma divinity, Kiswahi na English. Utaweza kwenda na kiswahi na English, au divinity na kiswahi., au English na divinity. Udini umeenezwa wapi? Lowasa (2015) , elimu,! elimu,! elimu!
Kama admision ni masomo mawili tu basi comb nazo ziwe na masomo mawili
 
badala tuweke mkazo kwenye vitu vyenye tija maishani kama elimu kuhusu kilimo, technology, rasilimali nyingi lakin bado tumebaki mazuzu, Dini itatusaidia nin wakat wa dhiki. tazama Palestine Dini inawasaidia nin kwenye hii vita . wangewekeza kwenye technology wangejinasua japo kwa sehemu

hawa viongozi weusi ni laana kabisa
Umenena mkuu,yaani basi wangefundisha hata dini zetu za asili huenda tungejeng foundation ya namna ya kuutumia uchawi kama mbadala wa teknologia ya mzungu
Sasa tena tuanzidi kupofushwa
Dah wakati wazungu wanakuja kutafiti kuhusu jamii zetu,sisi tunajifunza histaoria ya dini zao

https://jamii.app/JFUserGuide them all
 
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Serikali ya Samia mdini lazima tu iingize udini kwenye mambo ya msingi. Halafu masomo ya Islamic knowledge yameingia hadi uchumi. Rais Samia anataka kuisilimisha hii nchi iwe ya kiislamu.
 
Hayo masomo ya divinity mfano kidato cha tano na sita yanasaidia sana mtu anayekwenda kusomea upadri au uchungaji au kusomea kufanya kazi taasisi za dini ya kikristo kwenda kuchukua digrii za theology ambazo hutolewa na vyuo vikuu vyetu muda mrefu tu wamekuwa wakipata changamoto kujiunga sababu tu secondary hawakusoma Divinity A,level.

Vyuo vikuu sasa hivi vingi sana vinatoa digrii ya theology na moja ya condition mtu awe kasoma divinity
 
Kwa kuona mbali, kutaanza kuwa na ajira za kidini dini kutokana na masomo ya kidini.
Tunaanza kutaga mayai ya machafuko huko mbele ya safari.

Hili lipingwe kwa nguvu zote.
Inawezekana labda ni warabu ndio wamemshinikiza aweke dini kwenye elimu maana tangu warabu wa DP World waanze kushika nchi, naona mambo mengi yamekuwa na mwelekeo wa kiislamu na kiarabu. Ipo siku tutaamka tutakuta nchi nzima imesilimishwa
 
Sio kweli kuchukua mfano bachelor of theology vyuo vyetu vingi vinatoa hiyo degree muda mrefu tu shida wengi walikuwa wanashindwa kuingia chuo kikuu kuchukua hizo degree sababu A level kulikuwa hakuna somo la Divinity
Vyuo vikuu vingi vya Kikristo vinahitaji aliyesoma Divinity A leve kujiunga navyo vya ndani na nje ya nchi
 
Back
Top Bottom