Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani

Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani

Wachaga bhana, Mbunge wa Hai na Rombo, KLM wanauliza kuhusu Daraja la Wami lilliloko Mkoa Pwani/Tanga, kwa kuwa ni daraja la kwenda kwao, hawa jamaa ni wabinafsi kuliko maelezo, halafu wanawaambi muwakabidhi nchi, hata Benki Kuu itahamia Old Moshi nawaonya!
 
NIMEIWEKA ILA SIRI YAKO 😂
Screenshot_20181109-172745.jpg
 
Nasikia hilo daraja likikamilika litapunguza muda wa kusafiri kwenda Moshi kutoka masaa 9 ya sasa hadi masaa manne tu. Baada ya kukamilika mabasi yatakua na uwezo wa kuja Moshi toka Dar na kurudi Dar siku hiyo hiyo. Hongera awamu hii
 
Hizo ndizo Kazi za Serikali,ni wajibu wao kufanya hayo ,kama wanakusanya kodi ni vizuri watekeleze miradi mbalimbali.
 
Wachaga bhana, Mbunge wa Hai na Rombo, KLM wanauliza kuhusu Daraja la Wami lilliloko Mkoa Pwani/Tanga, kwa kuwa ni daraja la kwenda kwao, hawa jamaa ni wabinafsi kuliko maelezo, halafu wanawaambi muwakabidhi nchi, hata Benki Kuu itahamia Old Moshi nawaonya!
Kama wakwere na wadengereko wa eneo husika wamenyamaza tufanyeje? Shukuruni kwa hilo kwamba tunajali maendeleo ya majimbo mengine poa.
 
Back
Top Bottom