kulia kuna ile mamlaka ya maji, kushoto kule mto ni mpana sana na kuna mlima au wewe hujawahi pita njia ile, inawezekana najibizana na mtu ambae kazaliwa shinyanga, kakulia shinyanga, kasomea shinyanga, anaishi shinyanga na atastafia shinyanga
Acha ujuaji ndugu, hata mantiki huna? Umesoma hiyo post kweli wewe?Kwanza, umepewa urefu wa daraja jipya,Pili umepewa upana wa daraja jipya ,lakini, tatu umepewa umbali ambapo daraja litajengwa kutoka hili kongwe.Je,umeona umbali uliotajwa? Karibu mita 600.Je, mita mia sita unazijua wewe kweli? Kha! Eti mitambo ya maji,hapo mitambo ya maji inahusika nini?
Kwa pande zote, unajua baada ya mita 600 kitoka daraja kongwe kupoje? Unafikiri wao ni wajinga kwenda umbali huo? Unajua wamekwepa nini?
Nilipokuona kilaza ni eti kudhani kupita ukiwa ndani ya gari na kengele zako,basi unaweza kujua hiki kisemwacho.Wewe ulifika la saba kweli?
Sasa kwa taarifa yako ,mimi ni mwelewa sana tu wa hiyo barabara na daraja.Hapo darajani nishafua sana nguo nikitokea chaka zetu kabla mradi wa maji haujaja.Mandera, Kihangaiko,Funta, Msata,Kwamakocho, Kimange , Mbwewe n.k., hunigusi hapo.
Ila nimekuona boya kweli, bonge la pedant.