mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,070
- 3,792
kulia kuna ile mamlaka ya maji, kushoto kule mto ni mpana sana na kuna mlima au wewe hujawahi pita njia ile, inawezekana najibizana na mtu ambae kazaliwa shinyanga, kakulia shinyanga, kasomea shinyanga, anaishi shinyanga na atastafia shinyangaSasa, kwa mujibu wa maelezo hapo juu, jipya litajengwa karibu mita 600 toka hili la kongwe, umejuaje kuwa itahitaji kukata mlima? Au umeshaona ramani na picha nzima ya eneo husika? Umejua ni upande gani litajengwa?
Mkuu mbona hueleweki? Ni kwamba daraja limeanza kujengwa ama serikali inajiandaa kujenga?Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani ili kuzuia ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara.
kulia kuna ile mamlaka ya maji, kushoto kule mto ni mpana sana na kuna mlima au wewe hujawahi pita njia ile, inawezekana najibizana na mtu ambae kazaliwa shinyanga, kakulia shinyanga, kasomea shinyanga, anaishi shinyanga na atastafia shinyanga
Kwanza unajua daraja lillipo kweli , Mkuu?Pesa itoke wapi?hayo magreda zuga tuu.Barabara nyingi magreda yapo tuu hakuna pesa
Daraja la miaka mingi lile. Tena lipewe kipaombele sababu limetafuna watu wa kutosha.
KwakwelHongera sana Mh Rais Magufuli kwa kulikumbuka lile daraja maana kwa hali ilivyo hivi sasa linatumika basi tu lakini limekaa kihatari hatari sana..Ni vyema awamu ya tano imelikumbuka sasa..
Ushauri: Ijengwe highway kutokea mji mdogo wa Msata mpaka pale kijiji cha mandela kupitia wami..iwe imenyooka moja kwa moja kupitia darajani pasiwepo na kona tena na ile mipando isiwepo.. Hili likifanyika litasaidia kupunguza muda wa safari maana pale kuna kama 30min kuanzia mandela to Msata lakini pakiwekwa highway inaweza kuwa 3min kutoka mandela to Msata..
Hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kulikumbuka lile daraja maana kwa hali ilivyo hivi sasa linatumika basi tu lakini limekaa kihatari hatari sana..Ni vyema awamu ya tano imelikumbuka sasa..
Ushauri: Ijengwe highway kutokea mji mdogo wa Msata mpaka pale kijiji cha mandela kupitia wami..iwe imenyooka moja kwa moja kupitia darajani pasiwepo na kona tena na ile mipando isiwepo.. Hili likifanyika litasaidia kupunguza muda wa safari maana pale kuna kama 30min kuanzia mandela to Msata lakini pakiwekwa highway inaweza kuwa 3min kutoka mandela to Msata..
kona za iyovi je??Hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kulikumbuka lile daraja maana kwa hali ilivyo hivi sasa linatumika basi tu lakini limekaa kihatari hatari sana..Ni vyema awamu ya tano imelikumbuka sasa..
Ushauri: Ijengwe highway kutokea mji mdogo wa Msata mpaka pale kijiji cha mandela kupitia wami..iwe imenyooka moja kwa moja kupitia darajani pasiwepo na kona tena na ile mipando isiwepo.. Hili likifanyika litasaidia kupunguza muda wa safari maana pale kuna kama 30min kuanzia mandela to Msata lakini pakiwekwa highway inaweza kuwa 3min kutoka mandela to Msata..
Mhhhh!?Hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kulikumbuka lile daraja maana kwa hali ilivyo hivi sasa linatumika basi tu lakini limekaa kihatari hatari sana..Ni vyema awamu ya tano imelikumbuka sasa..
Ushauri: Ijengwe highway kutokea mji mdogo wa Msata mpaka pale kijiji cha mandela kupitia wami..iwe imenyooka moja kwa moja kupitia darajani pasiwepo na kona tena na ile mipando isiwepo.. Hili likifanyika litasaidia kupunguza muda wa safari maana pale kuna kama 30min kuanzia mandela to Msata lakini pakiwekwa highway inaweza kuwa 3min kutoka mandela to Msata..
Muwe na subira, hamjui kinachoendelea hapo. Yakifanyika hayo tunayoyaota, mtoe pongezi.Hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kulikumbuka lile daraja maana kwa hali ilivyo hivi sasa linatumika basi tu lakini limekaa kihatari hatari sana..Ni vyema awamu ya tano imelikumbuka sasa..